“Tafadhali msiwaache wakafa,” alinong’ona mama mmoja wa Kitanzania kwa majonzi huku akishindwa kuzuia machozi yanayomtiririka mashavuni. Wakati Wazanzibari wengi wakiwa bado wamelala, daktari mmoja wa China alitimua mbio akikimbilia kwa watoto waliozaliwa ambao wapo kwenye pumzi za mwisho...
Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi
Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu
Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie
Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu
mana linanikosesha raha
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya...
Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler
Ile kauli ya kusema magonjwa fulani ya wazee achana nayo.. ila kuna mambo unafanya wewe mwenyewe ambayo ina take long time ku show sign...
UTANGULIZI
AFYA NI NINI?
Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na kijamii. Afya inahusisha mambo mengi kama lishe bora, mazoezi, usafi, upatikanaji wa huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.