Mwenyekiti wa Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha wamachinga, mama lishe na vijana wa boda boda na bajaji, badala ya kuwaona kama kero za mijini.
Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa ADC wa...