adam na hawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  2. Mhaya

    Je Kabla ya Adam na Hawa, hawa watu walioumbwa na MUNGU walikuwa kina nani?

    Leo ningependa sana kujifunza kutoka kwenu, atakayeweza naomba mnijibu swali langu kulingana na maandiko. Siku hizi nasoma sana Biblia. Sasa swali langu ni hapa: Ukisoma Mwanzo 1:26 ni kwamba Mungu anasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege...
  3. H

    Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    Sayansi imethibitisha uwepo wa Adam na Hawa

    Imepita zaidi ya miaka 6000 mpaka 6700 Baba WA wanadamu Nabii Adam na Mama wa Wanadamu Hawa kushushwa kwenye ulimwengu huu wa Dunia. Hatimaye utafiti uliofanywa hivi majuzi wa kisayansi umetoa ushahidi wa kutosha kwamba wanadamu wote waliopo Ulimwenguni wana ukoo mmoja, ambapo inaonyesha...
  5. Skull dance

    Kitabu cha Adam na Hawa

    Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia. Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
  6. Braza Kede

    Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

    Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako. Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu Jina lake aliitwa Lilith Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda kuanzisha life yake solo nje ya bustani ya Eden. Ndio ikabidi aumbwe Hawa kutoka ubavu wa Adamu Sasa...
  7. Mchawi mwandamizi

    Adam na Hawa walikuwa watanzania wenye asili ya kimasai

    Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania. Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la Adam basi la hawa). Na tunafundishwa mashuleni kuwa habari kuhusu fuvu hilo ni za kweli. Hivyo basi...
Back
Top Bottom