act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

  2. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  3. JamiiForums Tanzania LHRC, ACT-Wazalendo wajitosa mauaji Ali Kibao, kada wa CHADEMA

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao wala walipotokea. Wito wa LHRC unaungana na wa Chama cha ACT-Wazalendo, kilichohoji maswali...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

    kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO... demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

    Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo. CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaanzisha sera kuenzi viongozi wastaafu wakimuaga Babu Duni

    Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji (Babu Duni) akiagwa leo, chama hicho kinaanza utekelezaji wa sera ya ya kuwaenzi viongozi wake wastaafu. Babu Duni ameachia ngazi mapema mwaka huu na nafasi yake kuchukuliwa na Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi yaruhusu mkutano wa ACT uliopangwa kufanyika Mbagala

    Pia soma ~ Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
  11. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Baadhi ya Mikoa

    24 July 2024 ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024. Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
  12. JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) TAARIFA KWA UMMA VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
  13. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  14. JamiiForums Tanzania KWA MAZINGIRA HAYA KISIASA, NAJIULIZA TU MH. LUHAGA MPINA KUTIMKIA ACT WAZALENDO?

    ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo. vyama vingine pia wamo na ukaribu nae kwa kiasi fulani na muungwana huyo kwa mfano chadema na...
  15. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo

    Sisi pia ni binadamu, msikatishe ndoto zetu
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 My dear people we must think differently and act collectively

    Our long-term vision for Tanzania by 2050 is to be the best place to live, learn, work, and do business. We want our businesses, our public services, the private sector and Government to have worked together to achieve the goals that are set out in the proposed and ground-breaking Future...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Impact of the Personal Data Protection Act on businesses in Tanzania

    As the number of organizations that process personally identifiable information increases, so does the need for such organizations to ensure the safety and privacy of data. It is essential for organizations to implement a data protection framework that provides guidance on the protection of...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyeidanganya EFF ya Afrika ya Kusini ndiye anayeidanganya ACT Wazalendo ya Tanzania?

    Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini. Malema alikuwa anaonesha kuwa tatizo la Afrika ya kusini ni "wazungu" wanaobebwa na ANC kuwepo kwake...
  19. JamiiForums Tanzania Covid 19 mara baada ya Bunge kuvunjwa kuhamia CCM na ACT

    Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao. Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
  20. JamiiForums Tanzania ACT kumfukuza Uanachama Zitto?/ Kumpigia Kampeni Samia 2025/Dorothy Semu

    https://www.youtube.com/watch?v=JXhfs3y4FiY Chanzo: Dar24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…