The Alliance for Change and Transparency (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots'), sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike.
Sigrada...
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza:
"Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"...
Akizungumza leo Septemba 13, 2025 katika Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina amesema:
Vyombo vya Dola vitupe ulinzi tu, usitumie nguvu ya Dola kupata ushindi, kama Watanzania hawakutaki nenda nyumbani ukapumzike.
Vyombo vya Dola visitumike vibaya kwa kuwa...
Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama?
Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na kada wa CCM?
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe mwanachama wa ACT WAZALENDO kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya Tarehe ya mwisho wa wagombea wa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, Mgombea akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam ameeleza yale aliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake aiwa kama waziri na Mbunge.
Luhaga Mpina amesema...
Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti.
Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza...
TAARIFA KWA UMMA
UAMUZI WA EALS KUHAMISHA MKUTANO WAKE KUTOKA ZANZIBAR UTUPE FURSA YA KUJITATHMINI
Tarehe 20 Juni, 2025, Jumuiya ya Wanasheria ya Afrika Mashariki (East Africa Law Society) ambayo inajumuisha vyama vya wanasheria vya nchi nane (8) - Tanganyika, Kenya, Uganda, Zanzibar, Rwanda...
Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani.
Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025.
Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinapiga hatua kubwa kwa kasi isiyopimika, huku akidai kuwa serikali kwa kukosa utashi wa kisiasa wa kukuza demokrasia nchini.
Akizungumza Jumatatu katika maadhimisho ya miaka 11 ya kuzaliwa kwa chama...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman amesema harakati za kubadili mifumo ya uongozi Zanzibar haziwezi kusimama vizazi hadi vizazi kwa sababu Zanzibar inashindwa kujiendesha wenyewe.
Othman ameyasema hayo 28 April 2025 Wakati akihutubia maelfu ya wanachama wa Chama...
Nimekumbuka sana
Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu, amesema kuwa Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, haina nina ya dhati ya kutimiza ahadi za maridhiano, kwa kuwa vyombo vya dola bado vinatumia mabavu kukandamiza hoja za msingi za vyama vya Upinzani, Kukamata wanasiasa wa Upinzani...
Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo.
Othman ambae pia...
Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025.
Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia
Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika Quran Takatifu , amewasihi Watanzania wote nchini kua katika kuyatafuta mabadiliko ya kweli na...
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...