act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waahidi maendeleo Mtakuja - Dar es Salaam

    Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuimarisha kampeni zake za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Vingunguti, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam. Mkutano huo, uliovutia idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo, uliongozwa na Naibu...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nyarugusu, Kigoma: ACT wamuombea kura mgombea wa CHADEMA

    Wakuu, Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM? ==== Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Ndugu Julius Massabo akimnadi Ndugu Maisiana Damasi; ambaye ni mgombea Uenyekiti kwa tiketi...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Ninazeeka nahitaji wasaidizi, Chagueni ACT- WAZALENDO tushirikiane kutetea maslahi ya Kigoma

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Abdul Nondo: Chini ya ACT Wazalendo hakuna raia atachukuliwa na Uhamiaji bila mwenyekiti kupata taarifa, akumbushia kutekwa kwake

    "Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa kunisumbua tu, lakini chama changu cha ACT kilisimama nami mpaka mwisho. Hivyo kupitia ACT, hakuna raia...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Abdul Nondo: ACT sio kama CCM hatuwezi kutoweka baada ya Uchaguzi

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, ameibua hoja muhimu kuhusu changamoto za maendeleo vijijini wakati wa kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika kijiji cha Mwali, kata ya Nyachenda, jimbo la Kasulu Vijijini mkoani Kigoma. Soma Pia: Kigoma...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

    Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jeshi la Polisi wamkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe sababu hazijafahamika

    Jeshi la Polisi wamemkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe Ezekia Zambi kwa sababu ambazo bado hazijafahamika. ACT Wazalendo Vwawa iliruhusu Chadema kutumia ratiba yake kufanya mkutano wa Mwenyekiti Freeman Mbowe lakini polisi wakazuia. Soma Pia: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Njombe aeleza A-Z mkasa nzima ilivyotokea mpaka Freeman Mbowe kukamatwa na Polisi

    Wakuu, Muda mchache baada ya Freeman Mbowe kukamatwa, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe amezungumza mwanzo mwisho nini hasa kimpelekea mpaka Mwenyekiti huyo kukamatwa. Soma pia: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

    Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma. Soma...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti. Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo yawaomba wananchi kuchangia kwa hali na mali kufanikisha ushiriki wao kwenye Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hapa ndio CCM inapozidi kuwapiga gape wapinzani, maana wana hela afu wana watu, yaani mpaka kontena la uchawa lipo standby kwaajili ya uchawa tu. Bila upinzani kuungana, kumpiga CCM itakuwa muujiza! ===== Chama cha ACT Wazalendo kimewaomba wananchi kuchangia kwa hali na mali...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: ACT Wazalendo wavalia njuga sakata la uhaba wa maji huko Busega. Awataja viongozi wa CCM kuhusika!

    Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye kampeni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ameeleza kutoridhishwa na changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Waungeni mkono vijana uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu ameendelea na kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Novemba 21, 2024 alikuwa Jimbo la Mbeya Mjini, Kata ya Ruanda Mtaa wa Makunguru ambapo amepita mtaa kwa mtaa kuwanadi wagombea. Ameeleza kuwa chama cha ACT Wazalendo kimelenga kuboresha...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa mwenyekiti wa kijiji kupitia CCM ampigia chapuo mgombea wa ACT- WAZALENDO

    Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

    Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

    Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…