Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
Wanajukwaa,
Sote tunafahamu kwa nchi yetu na maeneo mengi haoa ulimwenguni, ikifikia kipindi cha sikukuu au likizo za wanafunzi abiria wanakuwa wengi kupita kiasi.
Lengo la uwepo wa usafiri wa uhakika umma ni kuhakikisha watanzania wanawahi ratiba zao mbalimbali huko waendako bila kulazimika...
Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR.
Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo.
sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.