MkikiMkiki2015
Member
- Jul 2, 2015
- 20
- 23
MDAHALO WA KWANZA WA KIHISTORIA WA WAGOMBEA WA URAIS_CCM
MWIGULU NCHEMBA, LOWASSA, PINDA NA WAGOMBEA WENGINE AKIWEPO JANUARY MAKAMBA NA HAMIS KIGWANGALLA WATAKUWA LIVE STAR TV KUELEKEA MBIO ZA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS CCM 2015.
Wote Mnakaribishwa
LINI: JUMAPILI 5/July 2015
MUDA : SAA 9:00 Alasiri
MAHALI: CHIMWAGA DODOMA.
STATION: STAR TV_Live
======
UPDATES:
- Watia nia wawili ndio wameweza kujitokeza ambao ni Mwigulu Nchemba na Hamis Kigwangalla
- January alikubali kuhudhuria lakini akapata dharura
- Watia nia wawili hawa waliodhuria wote wapo chini ya miaka 45
- Wanaanza kuongea na sasa wanazungumzia mabadiliko wanayoweza kufanya katika sekta elimu
- Mwigulu anasema awamu zilizopita ziliweka miundombinu hivyo awamu inafuatia itaendeleza pale walipoishia
- Mwigulu anasema watu wanataka kiswahili kitumike wakati watu wakienda kwenye usahili lugha inayotumika ni kingereza anayeongea kingereza ndio anaonekana mwenye akili
=> Updates zaidi tembelea www.twitter.com/JamiiForums