Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,416

Siku moja baada ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA kujiunga rasmi na chama cha ACT, kuna wimbi kubwa la wafuasi na wanachama wa CHADEMA kukihama chama hicho na kumfuata Zitto. Hakika hili ni pigo kubwa sana kwa CHADEMA. Hatujui ni watu wangapi wamebadili fikra zao na kwenye uchaguzi ujao watakipigia kura ama CCM au ACT ambao walikuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Poleni sana Makamanda. Siasa si chuki.

Waliojiunga Act.JPG
 
Ubaguzi umeimaliza Chadema, mwisho watabaki Mbowe na mkwe wake Mtei peke yao.
 
Sasa naamini kuwa Chadema kilianza na Mungu na kinamalizia na Mungu.

Askofu Gerald Mpango, shemeji yake Gavana Daudi Balali, alinunua Kigoma Hotel kwa pesa ya Balali, akaikimbia baada ya mambo ya Balali kuharibika, sasa ndiye mbia wa Mccm Zitto, mtoto wa Kirundi.

Hongereni Chadema kwa kuachana na ndumilakuwili
 
OUR SACCO'S is on oxygen support machine,
 
Ahsante mods kwa kuweka sawa hiyo orodha. Akina Kilaza walikuwa wanapata shida kuiona
 
ACT Ni chama..lazma kipate watu hyo ni kawaida..mbona kila ck ccm wanaamia chadema na vyama vingne..this is reversible reaction..going in either direction so kuna wanaoenda CHADEMA wengne from Chadema to ACT etc etc etc.....
 
Idadi hii si ya kudharau hata kigogo. Hao watu wana wafuasi wengi nyuma yao. Mtaisoma namba mwaka huu
subirini kwanza tarehe 25/03/2015 ndiyo muanze kuleta tambo. By the way kuondoka kwa wanachama siyo ishu sana maana tunaongeza wengine. Mie namfahamu vizuri Zito ndiyo maana nakwambia wamepotea muda ukifika utajua.
 
Back
Top Bottom