Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mimi nawafahamu watoto wote wa hayati Julius K. Nyerere. Kuanzaia Rosemary Nyerere, Anna Nyerere, Madaraka Nyerere, Makongoro Nyerere, Andrew Nyerere, Magige Nyerere, Aikael Nyerere.
Pia watoto wa kuomba kuwepo kwenye ukoo wa baba wa Taifa ambao ni Benjamin Mkapa ambaye ndiye mtoto pekee aliyeaminiwa sana kuliko watoto wake wote.
Pia Yericko Nyerere ambaye kuna uwezekano mkubwa hayati alimsajili kwenye list yake huku akitegeme angerudi kutoka kwenye matibabu awafahamishe watoto wengine.
Kinachonifanya niamini ni jinsi Andrew Nyerere anavyomtegemea Yericko kwenye masuala yahusuyo familia ya hayati.
Shida yangu ni moja tu, naomba nisaidiwe kujulishwa huyu mtoto wa Nyerere anayeitwa John Nyerere anafanya nini?
Kwa sababu nataka kulinganisha katika watoto wake yupi mwenye upeo mzuri wa kushika hatamu baada ya Kikwete.
Watoto wengine wote nimewatoa kwenye mchujo, nimewabakiza hawa kwenye list baada ya mchujo.
Aikael Nyerere, Makongoro Nyerere, John Nyerere na Yericko Nyerere.
Huyu John nimemuweka kwa sababu simjui nisije acha kutenda haki.