Habari ya leo wakuu
Leo napenda kuwapa kilichotokea kwenye ile thread kuhusu kufanya udukuzi kwenye simu ya mke wangu.
Tujikumbushe kidogo kwa wale ambao hawakupata ile thread. Ni hivi mimi nipo DSM na mke wangu yupo korogwe Tanga.
Tulikuwa tunaishi wote hapa DSM kabla hajapata kazi kisha akapata kazi na kuelekea huko.
Kabla hajaelekea huko Tanga hapa jirani kuna baba mmoja ni mlokole anavojiweka mwenywewe na ana mke na watoto wakubwa wa kwanza yupo chuo.
TULIVYOISHI
Huyu jamaa akawa yupo jiran na mke wangu, yanI kumpigia simu na kushauriana mambo kadha wa kadha hasa ya kanisa kwa vile nilimwamini mke wangu sikuwa na wasi wasi na kikubwa zaidi akawa anampigia wakati wowote akiwa na suala hasa kikanisa.
Ikafika stage wife akaondoka akaenda kikazi Tanga. Akiwa Tanga nilinunua smart phone na kumpelekea. Kwenye ile smartphone nikaweka program ya kunitumia taarifa zake ikiwemo msg na calls zote ziingiazo na kutoka kwenye ile simu.
ILIVYOANZA
Huyu jamaa alikuwa anajifanya mpole na kuhitaji kuwa karibu na kumchukulia kama family friends yaani familia yangu ikiwa na shida gari lake linatumika na familia yake ikiwa na shida kama wakilihitaji gari linatumika.
Tukiwa pamoja na huyu jamaa namheshimu sana as family friend na naye akawa anaonyesha heshima ya juu sana nikamuona ni mtu mwema kwa kizazi na maisha ya watu leo kumbe anakuja kunitenda kwa kutembea na mke wangu na kuniachia kovu ambalo sijawahi kuhisi maumivu yake.
Ni bora utendwe na mtu alie mbali nawe kuliko yule uliemwamini na kumheshimu sana halafu anakuja kumvua mkeo chupi, hiki ndio nikikumbuka nalia kidume mimi.
Hapa nitaeleza dalili za mwanzo kati na hadi mwisho wa kuja kukamatwa kwa huyu alieniliza kidume mimi.
Lengo la hii thread nitaomba ushauri wenu nitarudije normal na pia niwafanyeje hawa wezi wote mke na mme.
Nilivyompa ile simu ikiwa tayari ina hiyo application nikalala asubuhi yake nikaondoka kurudi DSM
ile nipo kwenye dar express mida ya saa tano nikaletewa notification kwamba kuna mu anaongea na wife.
Kucheki namba ni jirani yangu, nikapotezea nikaendelea na mambo mengine mida ya saa saba mchana notification simu inatumika kucheki ni jamaa jirani, saa kumi notification kucheki ni jamaa saa kumi na mbili notification kucheki ni jamaa saa moja na saa mbili notification kucheki ni jamaa tu.
Machale yakanikuna kuwa kuna kitu hapa.
Asubuhi yake mapema jamaa kampigia tena ilipofika saa 4 wife alienda church kwa hiyo alikuwa amezima simu jamaa kamwandikia messge mbona hupatikani nimekumiss sana. Hapo alarm ya kichwa ikapiga kwamba kuna jambo sio dogo hapa.
Ile wife ametoka kanisani akawasha simu basi muda huo huo nikaletewa notification kwamba jamaa anaongea na wife.
Walivomaliza kuongea wife akanipigia simu akanipa hai tukaagana akakata simu.
Baada ya kukata simu wakapigiana tena na tena yani jamaa anampigia wife kila baada ya saa moja au mbili.
*****TUENDELEE*
TULIVYOISHI
Huyu jamaa akawa yupo jiran na mke wangu, yani kumpigia simu na kushauriana mambo kadha wa kadha hasa ya kanisa kwa vile nilimwamini mke wangu sikuwa na wasi wasi na kikubwa zaidi akawa anampigia wakati wowote akiwa na suala hasa kikanisa. Ikafika stage wife akaondoka akaenda kikazi Tanga.
Akiwa Tanga nilinunua smartphone na kumpelekea kwenye ile smartphone nikaweka program ya kunitumia taarifa zake ikiwemo msg na calls zote ziingiazo na kutoka kwenye ile simu.
Hapa mwanaume nimeamua kuweka ukweli wangu kama yamenikuta yaweza kukuta na wewe naomba mzahamzaha sipendezwi wakuu.
*************
Basi vile nilivyokuwa napata zile notifications mara kwa mara za meseji na calls kwa jamaa kwenda kwa mke wangu nikashindwa kuvumilia ikanibidi niende korogwe kwa wife...nikampigia simu kwamba nakuja tanga, wakati nakata simu ikaingia notification kwamba jamaa anaongea na wife kumbe wakatumia wakati huu kuambizana kwamba nipo njiani naekekea tanga, hivo zile notification za mawasiliano yao zikapungua kuja kwangu....
Nimefika tanga nikamkuta wife yupo normal tu na simu yake ipo loose tu juu ya meza....basi akanipokea pale kwa bashasha yani full tabasamu (dont trust a woman) akaandaa chakula tukala tukalala....
usiku mida ya saa 3 usiku ikaingia txt kwenye simu yangu nikaichukua ile msg nikaisoma ilikuwa ya kikazi nilivomaliza kuisoma nikairudisha simu kwenye dressing table...hapo nikaona wife amenyanyua kichwa akaniuliza msg ya nan nikamjib ya kazini akanyanyuka kuichukua simu yangu nikaidaka na kukataa aiguse sababu kubwa nina hasira za kimia kimia moyoni kwamba najua nn kinaendelea ila najipa muda. .akanituhumu pale kwamba msg ya mwaamke ndo maana nakatalia aione.
Akanijibu jibu moja kwamba mimi sio muaminifu ndio maana nakatalia simu akadai kwamba mbona yeye simu yake ipo free na kama nataka nikae nayo hata siku nzima hamna kibaya kitakachoingia (hili jibu hutolewaga na wasichana na nilitumia kuliamini sana kumbe sio) kuweni makini utakaa na simu ya mkeo au mchumba na still akakucheat basi tukakwaruzana pale kidogo kisha tukalala.
Asubuhi nikaamka nikarejea DSM. Hii siku nzima ilipita sikupata notification ya mawasiano yao. Kesho kutwa yake nikaendelea kupata notification za mara kwa mara kwamba wanaongea na msg za hapa na pale yaani wanaongea hadi saa 4 usiku sometime.
Nikashindwa uzalendo nikaanza michakato kila anapomaliza kuongea nampigia simu namuuliza ulikuwa unaongea na nani akawa anataja ndugu zake na anakupa hata sababu walichokuwa wanajadili nikawa namkubalia kwa shingo upande kwani notification za txt zote na calls zote anazopata nazipata. Ipo siku tena nikaamuliza akawa mkali sana kwamba iweje anipe taarifa za kila anaempigia je mbona mm simpi.
Nakumbuka ilikuwa Jumatano nikaletewa txt as notification toka kwa jamaa anamtaka wakutane ijumaa wasex. Jamani jamani jamaniiiiiii inauma asikuambie mtu, nilivuja jasho sijapata kuona nikakabwa na kitu kooni nikavumilia. Wife akamjibu sawa karibu hata mm nimemiss mambo yako.
Hii jumatano sikulala kabisaa kwani walizidisha muda wa kuongea walichati sana msg za kawaida na kijinga, kipindi hiki wanaendelea wife alikuwa ananipigia simu kama kawaida tunaongea ila alinote sipo sawa akaniuliza kuna nini nikamjib hamna shida. Niliamua kuondoka Dar saa 11 jioni Alhamisi kwenda Korogwe ili kuliwahi siku ya tukio yani Ijumaa wanapokutana.
Nimefika Korogwe ilikuwa kama saa 3 usiku niliwaza sana kabla sijaenda nyumbani kwa wife. Niliwaza nijifiche ili kesho niwakamate, niliwaza je nikiwakamata kesho nini kitatokea, niliona jibu lepesi ni kuwaua wote.
*******************************
Hiyo Alhamisi jioni nikakodi chumba Korogwe nilale ila usiku saa 4 hivi nikahisi sipo sawa kabisa kila kitu nakiona kichungu. Nikawaza bunduki sina, panga sina, je hawa hiyo kesho nitawauaje? Je wakishaingia gest mi nae nikaingia alafu nikakute wamemaliza kufunga mlango itakuaje? Je zikianza purukushani za kutaka kubomoa mlango na mhudumu akawaomba watu msaada kwa kupiga kelele si watanishika na jamaa atakimbia.
Niliwaza sana pale gest nikiwa kitandani, wazo likanijia kwamba sitapata hata tone la usingizi pale ni bora nimfuate wife nianze nae kwanza kupata ukweli ile saa tano usiku nikapata tena notification wanaongea hasira zikazidi nikaamka kumfuata nyumbani kwake hapo Korogwe saa 6 usiku nagonga kwa wife na inaonekana alikuwa hajalala.
NILIPOFIKA KWA WIFE
Kwanza alishangaa iweje umekuja usiku hivi nikamwambia nilikumiss na ni suprise yangu kwako nikajikaza sana kidume nisioneshe hasira.
NOTABLE EVENTS
Nilipofika ndani nikakaa kitandani nikavua viatu na soksi nikapanda kitandani sikuvua suruali wala shati coz nilijua hapatalalika. Cha kwanza wife akaonyesha kuhamaki kidogo afu akapotezea. Simu yake ilikuwa juu ya dressing table tena kwenye chaji kabla hajaenda kuniandalia maji ya kuoga bafuni nikaona anaichomoa kwenye chaji na kuihamishia kwenye begi la nguo juu lilikuwa mwisho wa kitanda upande wa pili.
Nikaamuliza mbona unatoa simu chaji akajibu imejaa. Nikamuuliza mbona unaihamisha akajibu nimeweka vibrate kwa hiyo hapo inaweza vibrate ikakudisturble na pia ikadondoka. Nikamwambia wakati unaenda kuniandalia maji naomba niicheze chezee hapa hizo games zake. Akanipa ila hana amani akaelekea bafuni.
KWENYE SIMU
Cha kwanza nilicheki txt zote zimefutwa japo mm ninazo kwenye simu yangu.
cha pili calls zote zinafutwa akishamaliza kuongea nae hivo kwenye simu yake hakuna evidence yoyote japo mm ninazo kwenye simu.
---
Alivyomaliza kuandaa maji akanifuata akanambia mme wangu maji tayari kaoge, niliwaza hapa nikienda bafuni wataandikiana txt kwamba nimekuja afu nikaharibu mambo. Nikamjibu asante nitaoga baadae tuongee kwanza.
Nikamwambia vipi upo sawa kabisa tunaweza kuongea akasema ndio. Nikamwambia pita ukae kitandani tuongee mpenzi. Nikachukua simu yake nikamuuliza mbona huna txt humu? Wala calls? Akajibu nimezifuta tu mpenz sipendi kukaa nazo.
Nikamuuliza kwa nini? Akajibu basi tu nafuta maana huwa zinawahi kujaa, nikamjibu hii ni smartphone simu yenyewe tu ni 4GB achilia mbali memory card, sasa inajaa kivipi?
Ok tusipoteze muda kwa nini umefuta? Hapo nikamuona anaanza kutetemeka yani kama vile alihisi najua kitu. Nikamwambia taja txt za watu ulizodelete ukificha tunauana inshort ninazo calls zote na txt zote. Daaaaaah alivotaja jina la jamaa tu sijui nini kiliendelea maana nilijikuta nimfumua mara moja kichwa kavimba gafla uso mzima. Kweli alikula heavy hapo yapata saa 8 usiku. Kisha nikamwambia tunakufa wote leo humu ndani. Eleza A to Z.
Basi akaweka kila kitu wazi pale akaomba msamaha mara 100 mia. Nikaona hapana amka nikamwambia ampigie dereva tax amwambie kuna ugonjwa alete tax. Dereva alivyofika ilikuwa kama saa 9 usiku nikamwambia atupeleke Dar huo huo usiku kuna mgonjwa yupo mahututi.
Tukaingia ndani na wife akajiandaa tukaanza safari ya kwenda Dar huo huo usiku. Lengo langu nifike pale Dar nimkamate jamaa nimvue nguo nimgeuze nimdate mbele ya mke wake na wangu ndo nitapata ahueni ya rohoni. Kwa hiyo safari ikaanza kwenda Dar kwenda kumgeuza mme mwenzangu atake asitake au aniue nipumzike mateso yasiyokifani moyoni.