Kwa wanandoa wanaume:Nafasi ya utani katika kuleta furaha kwenye ndoa

Kwa wanandoa wanaume:Nafasi ya utani katika kuleta furaha kwenye ndoa

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,899
Ni haoo....! Nawasalimu wana MMU wote!
Tuanze wiki na mambo chanya...leo tuzungumzie UTANI(Jokes) kwa wana ndoa na hapa nagusia zaidi kina baba mana hali si ya kuridhisha kwa upande wao zaid kuliko kina mama!

Kuna kina baba tulio wengi wakati wa urafiki na uchumba tunakuwa very charming na entertaining kwa wenza wetu ila tukishaoa tu basi tunabadilika. Utakuta baba kumi namoja haimtoki usoni,ukali yeye kama pilipili kichaa , akitaniwa kidogo na mama hakawii kusema mke hana heshima , yaani yeye ni serious muda wote utadhani anakaguwa gwaride la muungano! Tena hana utani si kwa mkewe tu bali hata kwa watoto. Akiingia nyumbani basi kila mtu anatafta njia yake, akishasalimiwa basi stori hana, yeye ni kuuliza maswali tu kama polisi,huyu yuko wapi?nani kafanya nini?yaani ilimradi hazoeleki....
Cha ajabu sasa anaweza akatoka kazini akataniana na Mbwa au Paka getini lakini asitaniane na watoto au mkewe!!
Kina baba wenzangu, utani ni "chachandu" ya furaha kwenye ndoa!

1.Usihamishe stress za kazini nyumbani,hii itakufanya usiwe na furaha hata nyumbani na itakuwa ngumu hata mwenza wako kuanzisha utani
2.Anzisha stori za jokes na mkeo mkiwa mko pamoja,mtanie juu ya nguo aliyovaa,mtanie na mkumbushe kitu cha kufurahisha mlichowahi kufanya at your happiest moments

3.Penda kushiriki michezo ya ushindani na mkeo mkiwa pamoja,mara nyingi michezo hii huibua utani mmoja wenu akishinda/kushindwa

4.Shirikiana na mkeo kukifanya chumba chenu kuwa na mvuto na vitu ambavyo mnaweza kuvitumia kuleta michezo inayoibua upendo na jokes
mf.hakikisha mna mito ya kulalia zaidi ya miwili na mnaweza kutumia hata kurushiana wakati mkitaniana!in short u have all to be creative in this
5.Angalieni movies,michezo kama mpira pamoja halafu mwanamume jaribu kuwa timu pinzani ya mkeo/support character ambaye mkeo yupo tofauti nae na kupitia hapo create jokes ambazo zitaleta enjoyment na si maudhi
6...........................ONGEZEA

NB:Kuwa makini wakati wa kuanzisha utani,hakikisha utani usiwe wa kudhalilisha au kumkwaza mkeo,soma alama za nyakati kwa mkeo kabla ya kuanzisha utani,wanawake ni watu hawakawii kukubadilikia just in a minute anacheka na dakika hiyo hiyo kakasirika
KUTANIANA NA MKEO SI DALILI KUWA UTAONEKANA FA*L*A au Bushoke
POLENI KWA LONG THREAD....
Tiririkenii
 
kuishi kwenye ndoa kazi sana aisee naona Lectures ziko nyingi tena contradicting zingine zinasema(akina babu hao) hutakiwi kumletea utani mkeo atakuona lofa etc na sisi digital tuna postulate against
Naona Mungu atusaidie tu maisha hayo
 
kuishi kwenye ndoa kazi sana aisee naona Lectures ziko nyingi tena contradicting zingine zinasema(akina babu hao) hutakiwi kumletea utani mkeo atakuona lofa etc na sisi digital tuna postulate against
Naona Mungu atusaidie tu maisha hayo

Mkuu hata babu na bibi wanataniana! Kujoke na mkeo si ulofa,ila it should be in a way ambayo haishushi heshima ya yeyote kati yenu. Kununanuna sio dalili kwamba ndio uanaume! Unaweza joke na mkeo na heshima yako kama baba wa familia ikawa iko pale pale!
 
Heheheee.......Hao amabao wako serious mie ndio nawapenda kweli..!

Kuna wakati huwa wanakuwa kama mapoyoyo, usiriaz wote unawaisha.! Lol
 
Heheheee.......Hao amabao wako serious mie ndio nawapenda kweli..!

Kuna wakati huwa wanakuwa kama mapoyoyo, usiriaz wote unawaisha.! Lol

Tehe tehe...huwa unawafanyaje hadi wanalainika?...
 
Uwingi wa mashauri na washauri concern ndoa inaonekana ni kwa jinsi gani ndoa ni hatari kwa ustawi wa furaha ya mabachelor, hivyo basi niungane na wale wasioamini katika ndoa kwa kuopt mfumo wa ndoa za mkataba walau wa annually ili kama kuna kero zita arise during that particular contract period, ndoa ifutiliwe mbali mara moja!
 
Inapendeza kutaniana na mwenza wk mm wangu mkali huyo mh

We mama mkali kitu gani simba mwenyewe mkali lakini anapa.n.d.w.a na anazaa.hata akinuna we mtanie tu mshike kidevu.Mara shika gegedo akizidi kununa shika ta.k.o atalainika tuuuu jaribu uone
 
Kuna ma mdogo angu masikini siku moja anamtania tania mme wake
anamponda kajiwe mme akigeuka anakauka, kamponda mara 2 ya tatu
jamaa kaamka alimshushia kipigo pale kama mbwa mwizi
nliishia kucheka tu japo sikupenda
 
We mama mkali kitu gani simba mwenyewe mkali lakini anapa.n.d.w.a na anazaa.hata akinuna we mtanie tu mshike kidevu.Mara shika gegedo akizidi kununa shika ta.k.o atalainika tuuuu jaribu uone

Hahahaaa umenchekesha sana, yaani amshike Mananiliiii humtakii mwema mwenzio wewe,ataachwa!
 
Hahaha ngoja leo ntamshika ---- akinipiga basi hips .com
Sio umshike kama unavyoshika bomba la gari la mbagala au gongo la mboto aaaaah mshike taratiiiibuuu uone kama hajakwambia zima jiko twende kwa rumu. lol😉
 
Kuna ma mdogo angu masikini siku moja anamtania tania mme wake
anamponda kajiwe mme akigeuka anakauka, kamponda mara 2 ya tatu
jamaa kaamka alimshushia kipigo pale kama mbwa mwizi
nliishia kucheka tu japo sikupenda

Duuuh hii kali, ila na yeye odo wako nae alitakiwa asome alama za nyakati, huo utani wa kupopoana vijiwe nao mhhhh
 
Back
Top Bottom