Search results

  1. ocade

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    natamani sana hli swsala la muungano lifungwe kabisaaaa! au la sivyo bora uvunjike kabisa, tumechushwa na maneno ya kila siku!
  2. ocade

    Sitaki!!!

    kila siku tunadiscuss source of problems? lini tutakuwa optimistic na kudiscuss mafanikio?
  3. ocade

    Harusi ina umuhimu ?

    naimani swala la harusi linategemea connection, marafiki na uhusiano wako na watu, na wala si mfuko wako...! sherehe ya harusi tunmafanya ili kuwafurahisha wapendwa zetu(wake watarajiwa) kwan kwao ni heshima sana kuolewa na kuwaonyesha watu kuwa nimeolewa na fulan, pia yapendeza sana kama...
  4. ocade

    Wivu katika mahusiano ya Ndoa

    wivu ni muhimu sana, na bnila wivu zi kwamba humoeni mwenzako, vivu ndi unaonyesha unamoenda na kumjali mwenzako kiasi gani, huu upendo wa kikaka kakaaa tuu si huo unaongelewa hapa, hapa unaongelewa upendo wa kimahusiano ya kimapenzi, so wivu ni muhimu na wivu ni kipimo cha mapenzi, tena...
  5. ocade

    Tanzania Internet Service Providers: Packages

    kaka mbona umeatenga zain, mbona hujadiscus zain nao data card za zikoje, sab mimi nikizitumia maeneoi ya sinza napata speed mpata 365kbps, na maeneo ya kijitonyamana napata mpaka speed ya 7.2Mbps
  6. ocade

    Call To All Professionals To Buy Nmb Shares Jointly

    dear colleagues labda mtu atanisaidia, last year profit was 11 billion, leta makes assuption ndo faida imepatikana this year, since we are we will be having 25% of NMB share means we will get 25% of the whole profit. 25% of 11 billion is 2.75 billion. since we are having 105000000 shares...
Back
Top Bottom