Mwamba temana na watoto hawa. 29/06/2020 si mbali sana, shule zitafungua watatuachia jukwaa. Sijui anataka yeye ndio awe mum wa Dar? Mtoto wa kiume ana muonea wivu mwanamke kupigwa machine.
Nakuombea ushindi classmate wangu pale kwa Dr.Longino (2012).
NB: kama una bahasha nijuze nikuunganishe na wapiga KURA uwape kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchapakazi bila maono nao ni wa kupigiwa upatu? Leteni uchapakazi na kwenye corona sio kuweka mpira kwapani. Ugomvi uko nje mbwa ana bweka ndani hataki kutoka. Hovyooo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kumuendekeza huyo msukuma mwenzenu. Yeye hata akikosea hamuwezi mpinga kisa ni "ndoho tabhu" mwenzenu. Hopeless head of state from a hopeless tribe......Tuvumiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo sana huo mmea nimepumzika. Though majuzi kt kuna walumendago walikua wanapigia kazi ya kutumia misuli mingi ikabidi ni bless up.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] umenikumbusha mbali sana suala la kuulizwa kabila. Niliopoa barmaid moja nikazama nayo ngwair piga sana pipe mpk ikajuta kiwango alicho taja kuwa ni kidogo. Wkt naisindikiza ndio ikauliza kabila langu nikamtajie kabila lake kuwa ndio langu. Alikataa kuwa mie sio...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jobha amepatikana nduguyo kakusaidia kutafsiri ID yangu kama nilivyo tafsiri yako from Nyakyusa. Btw my ID is my grandpa's name ('imbalo) mr/ms @Tychob:
Sent using Jamii Forums mobile app
What if Ukijinyonga? Yeah...jinyonge ili uondokane na stress. Kisha jamaa ahalalishe kabisa kwa kumuoa. Unajiita Pisi kali afu unakua na stress? Au best yako ni Pisi kali kukuzidi? KAMA HUWEZI KUJINYONGA ILI UONDOKANE NA STRESS, FANYA KAUSHA NA ANDAA KISASI ILI UTOE SOMO.
NB: KISASI kisiwe cha...
Kama wewe ni nyakyusa basi niko mbioni (akili mwangu) kuunganisha na ID za Ke zilizo nyakyusa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.