Search results

  1. S

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi. --- Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi...
  2. S

    Elections 2010 Lukuvi Isimani na Deo Filikunjombe ludewa wapita ubunge bila Kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi amepita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM na kata tisa zilizopo jimbo la isimani wagombea wa CCM wapita bila Kupingwa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wa ccm amepita bila kupingwa
  3. S

    Daudi Mwakawago afariki Dunia

    Mwanasiasa Mkongwe nchini Balozi Daudi Mwakawago amefariki dunia Jijini Dar e salaam. Mwakawago alipata kushika nyadhifa mabli mbali za Kiasiasa nchini, Ubunge Iringa Mjini, Uwaziri, Balozi wa Kudumu UN
  4. S

    Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    Habari zilizo patikana hivi punde ya kuwa Liyumba ametoroka na wadhamini wawekwa rumande baada ya kushindwa kumleta mshatiwa mahakamani!!!!
  5. S

    TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Habari zilizopatikana hivi punde ya kuwa aliyekuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ukiwaona Ditopile amefariki dunia kwenye Hospitali ya mkoa wa Morogoro. Mbali ya brother Dito ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo lakini pia kuna yule Binti Leocardia Kalumuna ambaye Gazeti la Mwanahalisi...
Back
Top Bottom