Search results

  1. B

    Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    Sijawah dhan kuwa bado kuna wagonjwa wa akili kama ww mtoa mada hii, anyways utakuwa yule polisi aliyemuua Mwangosi, hivi ni sheria ipi inayosema m2 asiye mwaandishi wa habari auliwe kwenye halaiki kisa hajatambulika kama ni mwandishi???!! Hivi unaijua katiba ww, au unaishi kwa bahati mbaya, ok...
  2. B

    kifo cha mwangosi, kuna any suspect aliyeshikiliwa?

    Ninavofahamu mimi, kwny criminal case serikali inatakiwa kuhakikisha watuhumiwa wanashikiliwa hasa wale waliokuwa eneo la tukio.SWALI: kuna walioshikiliwa kwenye kifo cha mwandishi wa Iringa? Na kile cha mfanyabiashara wa Msamvu Moro? Kama kwenye kifo cha Kanumba hakukuwa na shahidi zaidi ya...
  3. B

    nikaribisheni!!

    Senkyuuuu,,drama kama kawa kama dawa wa2 wangu
  4. B

    nikaribisheni!!

    asanteee
  5. B

    mahakimu wananyanyasika

    :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
  6. B

    mahakimu wananyanyasika

    Yaani pesa imetoka hazina mwez ushaisha, mshahara wameanza kuwekewa jana watu 150 kat ya 300, na cjui ni nini walikuwa wanazifanyia nini sasa??!
  7. B

    nikaribisheni!!

    Hey guys,,mm ni member mpya, nafurahi kujiunga na great thinkers
Back
Top Bottom