Search results

  1. kmbwembwe

    Kubenea ahoji: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow? Yeye (Kafulila) amchana kwa hoja nzito Saba

    Mbona Loliondo ni mfano wa kampuni za dubai zinavyoendesha mambo. Hakika Kwa DP tumeingia matatani na kwa udart tutaingia matatani. Dubai ni sawa na wakoloni tu. Tutaibiwa hadi tukome. Na ubaya wakiingia hawatoki maana wananunua kila mtu kwenye seikali yetu. Kuna vitu lazima wenyewe tuendeshe au...
  2. kmbwembwe

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Sasa kama chama Kaimu mwenyekiti ni Kinana, katibu mkuu Nchimbi na huyu msemaji mpya huyu jamaa wa kugugu unategemea nini. Kinana ndio wale sirini walimuita magufuli mshamba na kumsema vibaya hata kupanga njama dhidi yake. Katibu mkuu ni huyu Nchimbi aliyemtetea lowassa agombee urais kikao cha...
  3. kmbwembwe

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Hii nchi utafikiri inaongozwa na wajinga watupu kwa kua kila kigogo anavutia mpango wake wa upigaji hela ya umma. Eti leo unawaambia watu mnazima mtambo mpya ambao umekua unasubiriwa kama lulu unasema mahitajini ya umeme ni madogo? Hapohapo unanunua umeme toka nchi jirani na hapohapo unasema...
  4. kmbwembwe

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Semeni tu mumetishwa na wale chawa. watanzania wengi wanajua mipango ya uchumi ya magufuli ilika mizuri kwa namna alivyoleta matokeo haraka kutokana na usimamizi wa mapato ya serikali kwa jinsi alivyodhibiti rushwa uzembe na ufisadi serikalini. Hebu fikiri kiongozi wa nchi unawaambia watumishi...
  5. kmbwembwe

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Kauli ya kinana tumemuelewa wanajpm. Alistaafu kuogopa moto wa jpm. Anafikiri kurudi chini ya mama amekuja kulipa kisasi na kumshusha jpm. Nyie wapinga maeneleo "reactionaries" mjue magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania na mwenyewe ni hatari kwenu kuliko alipokua hai. Endeleeni tu na...
  6. kmbwembwe

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Kwanza jimbo hilo waliunda kina makamba tu ili kutokea ubunge. Hana muda kushughulikia jimbo maana saa zote ni mipango ya upigaji na kutaka kuja kua rais.
  7. kmbwembwe

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Acha uteseke maana umesema huna jina la kikafiri. Inaelekea wewe mwenyewe ni muomini wa ubaguzi kwani unaona hao wenye majina ya makafiri ndio wanastahili kubaguliwa. Ujue hakuna sababu ya kumbagua binadamu mwenzako kwa lolote iwe dini au kabila. Basi wewe kula hiyo sumu ya ubaguzi bila kinyongo.
  8. kmbwembwe

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Sisi tunaangalia kazi yake nzuri kuhusu kutetea maslahi ya umma na yenye matokeo makubwa. Kama unamchukia hapo hujasema nini ameharibu. bila shaka utakua mmoja wa watu wabinafsi na dhulumati kwa wanyonge na mali ya umma.
  9. kmbwembwe

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    kwanza tujue ni mawaziri wepi ndio tujue nini la kufanya.
  10. kmbwembwe

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Na hata wale fisadi vibaraka waliyomrukia mama kama mwewe kwa furaha eti ni mtu wao na kumshauri kuwatema wanamapinduzi saa hizi wanaabika. Si muda mrefu watatemwa na umma wa wananchi na kuabika. Kama ccm inataka kuendelea kama chama cha mapinduzi shurti ni lazima kuongozwa na wanamapinduzi ili...
  11. kmbwembwe

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Awamu ya 5 tulikua wa saba. Sasa tumeshuka acheni kumsifu mama bure nyie machawa.
  12. kmbwembwe

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Yaani mabenki yanatakiwa kuwadhibiti na kuwawajibisha mameneja na wakurugenzi wao kwa kuwahusisha na mikopo chechefu. Kwa nini benki itoe mabilioni kwa kampuni haina uwezo kulipa au imepanga kutorudisha deni.
  13. kmbwembwe

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Yaani ufisadi wa kupanga kabisa. yaan wanakopa mabilioni kisha serikali ndio inalipa kutokana na dhamana ya letter of credit. Wenyewe wanaenda kwa majaji wao wanajuana wanashinda. Hao ndio waliyosherekea kufa magufuli. Sasa hii kitu iko nje sio siri mama ajue wananchi wanataka fedha zao. Kama...
  14. kmbwembwe

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Mpuuzi tu kwani nchimbi na kinana ndio wamemuweka nafasi hiyo ya ukuu wa mkoa?
  15. kmbwembwe

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Wananchi watachoka kumsitiri kinana hivi karibuni. Vijembe wanavyompiga jpm watu wanaelewa. Alikimbia kustaafu kuogopa mwendo wa kimapinduzi wa jpm baada ya kuwalazimisha kwa akili kubwa wakatema mali za chama walizokua wamejimilikisha. Licha ya kusikika hawa wahuni wakimkejeri jpm wakifikiri...
  16. kmbwembwe

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Connection zake za nje zinampa kichwa eti yeye ndio anafaa kua rais wa tanzania. Mpango wao wanafikiri wataweza kununua urais🤣😂😭😭
  17. kmbwembwe

    Je, uwekaji flow meter bandarini zinawekwa mara ngapi?

    Kwani ni gari kwamba miaka mitano limechakaa😂🤣
  18. kmbwembwe

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Mama anasema anateua makundi yote. Hii ni kujificha kwenye mbawa zake kama mbuni. Kundi sahihi kuongoza ccm ni la wanamapinduzi, kina makonda, polepole, kabudi, kina ali hapi, katibu mkuu ccm enzi ya magufuli. Yaani wajamaa kwa vitendo, wale wenye kujali maslahi ya umma, wale wanamapinduzi. Hao...
  19. kmbwembwe

    Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

    Najua sana serikali inavyofanya kazi ndio maana naponda utaratibu wa akina makalla. Ungejua kwanza vigogo wakubwa karibu wote hawategemei mshahara. Wakipata ofisi cheo kinakua sawa na kua na kampuni binafsi kutengeneza faida. Kwa hiyo wanakula gawio kupitia dili na rushwa bila kuwekeza kitu...
  20. kmbwembwe

    Je, uwekaji flow meter bandarini zinawekwa mara ngapi?

    Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK lakini zikawa hazitumiki kwa kuhujumiwa. Iko hivi, yaani uwekaji wenyewe ni dili maana kuna ulaji...
Back
Top Bottom