Mashine ndogo ya kutengeneza ice cream (portable ice cream maker) inauzwa.
Mashine bado mpya full box kila kitu kipo mpaka User manuals zipo.
Haijawahi kutumika.
Bei 230,000TZS mazungumzo yapo.
Ukiipenda njoo inbox
Nauza PC bei 500,000TZS.(fixed).
Specifications:
[emoji117]Touch screen (ina kalamu yake pia unaweza kutumia mkono)
[emoji117]Ram 4GB
[emoji117]Processor Intel(R) Core i5, 1.8GHz
64 bit Operating system, 64 based processor.
[emoji117]HDD 128 GB.
[emoji117]Unaweza kutumia Kama Tablet au...
Hapo umenena mkuu, kwa wenyeji wa UDSM wanajua kasi ya first year katika matumizi ya pesa ila itakapofika mda pesa imekata utaona foleni ya kula RB( Rice and Beans) inaongezeka na kasi ya kunywa soda inapungua, kwa wanaoishi mabibo hostel wakati wote utaona makundi makubwa ya watu wakitembea kwa...
acha mbwembwe kaka nenda uchape kazi, usingepata nafasi ungesema secretariet ya ajira hawako fair, kutaja kiwango cha mshahara wako hapa JF ni kuleta udaku tu.
hawa wanaosoma private schools wanapata elimu kwa njia rahisi bila jasho, maana wanafundishwa vizuri, na wale wanaosoma shule za gvt wanasota sana kwa sababu vitu vingi hawavipati darasani badala yake inawabidi waende tuition, na kama wazazi hawawezi kumudu gharama za kuwalipia watoto wao ada za...
hawa jamaa wa HESLB wanafanya kazi ya kuwapa watu pressure tu, muda waliotumia ni mrefu ilibidi mpaka sasa wawe wameshatoa list ya nani amepata na nani amekosa ili kila mtu ajue anajipanga vipi, sio kuleta stori.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.