Search results

  1. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Naomba tuelewane Ukwaju, Kuchukuana mbona ni mambo ya kawaida! Hata kama anachukuliwa na watu wawili watatu hivi, tunasema huyu ana wapenzi wengi au mtandao wake umepanuka. Ninachomaanisha ni uchangudoa haswa, yaani kupeleka biashara sokoni kwa mnunuzi yoyote atakayejitokeza.
  2. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Naomba tuelewane Ukwaju, Kuchukuana mbona ni mambo ya kawaida! Hata kama anachukuliwa na watu wawili watatu hivi, tunasema huyu ana wapenzi wengi au mtandao wake umepanuka. Ninachomaanisha ni uchangudoa haswa, yaani kupeleka biashara sokoni kwa mnunuzi yoyote atakayejitokeza.
  3. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Nafurahi kuwa umefikiria same way ka mimi, ni uzushi na biashara ya magazeti ya udaku
  4. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    ningesema itz the best answer - lakini hapo kwenye red umefanya fyongo.....
  5. YoungAge.org

    Umaarufu bila skendo

    Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani haiwezekani kuwa staa bila kuwa na skendo?
  6. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kama single
  7. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kwa majibu kama haya naona wengi ni 25-35 endeleeni kunisaidia
  8. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    kwanza ni kujua kuna nini humu, kisha kushiriki kilichomo nahc nimekujibu ulivyotaka sasa na wewe jibu swali la msingi, unadhani umri wa wachangiaji wengi ni kati ya miaka mingapi?
  9. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kama sio chekechea mbona hakuna age restriction katika kujiunga?
  10. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Niombe radhi kwa kunituhumu mnunuzi wa changudoa. Anyway post yako imenipa maswali kadhaa Unaposema kinachosababisha ni % ya mkopo, kwani changudoa wote wana dhiki ya pesa? Mwanadada kujua chuo fulani, faculty na hata course; huu ndio uthibitisho kuwa anasoma? Una hakika hakuna mainjinia...
  11. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kama ni kweli, unadhani kwa nini JF haina mvuto kwa vijana chini ya umri huo?
  12. YoungAge.org

    Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

    wajilegeze wapi? wahadhiri ndio manyang'au wanatumia janja ya kalamu kuwananiliu watoto wa wenzao
  13. YoungAge.org

    Umri wa wachangiaji mada JF

    Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?
  14. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    sasa hapo wao ndio wanajiuza au wewe ndio unajiuza?
  15. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Sikuelewi unaposema post yangu ni ya kubuni, kwani si hata wewe umebuni majibu haya? Nimefuatilia yanayoandikwa kuhusu wanafunzi na ndio maana nikabuni post hii, tatizo wapi mwalimu? Umesema ni vigumu sana kuwajua wanachuo, sasa hawa wanaosema wanachuo wanajiuza wanawajuaje?
  16. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    sio kila lisemwalo lipo, mengine ni uzushi tu
  17. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Unajua ukimapproach changudoa yoyote, anapenda kujipandisha grade so anasingizia yuko chuo na wengine wanafoji hivyo vitambulisho ili kuvutia biashara yao lakini sio wanachuo bana!
  18. YoungAge.org

    Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

    Imeandikwa sana kwenye vyombo vya habari kuwa kuna madenti wana desturi ya 'kujiuza' na hata baadhi ya vyuo vimetajwa tajwa kama vile IFM, SAUT, UDOM na hata Mabibo Hostel imehusishwa. Kisha nikasikia kuwa kuna sehemu kadhaa ndio sokoni, kama Sinza na club fulani mwanza. Nina ndugu yangu anasoma...
  19. YoungAge.org

    Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

    Sawa mhadhiri, lakini mbona wahadhiri wa kike hawalazimishi ngono na wanafunzi wa kiume?
  20. YoungAge.org

    Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

    Niliyeanzisha sredi hisia ninazo tena kali kwelikweli, ila nazimaliza ma mpenzi wangu ambaye tunapendana. hapa swali ni kwa nini mwalimu aombe rushwa ya ngono? huyu mwalimu kumbuka ana mke nyumbani wa kutimizia hisia zake. Nini kinapelekea hadi amfelishe mtoto wa watu kwa sababu tu analazimisha...
Back
Top Bottom