Search results

  1. PENDING'ULA

    Waungwana chonde nawaombeni msaada!

    Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na ufugaji wa kuku. Je kuna mtaalamu anayeweza kunisaidia Tiba za dawa za asili au tiba mbadala kama kiswahili cha sasa kinavyosema kwa ajili ya kuku?
  2. PENDING'ULA

    Nishati ya umeme itokanayo na urani je ni suluhisho kwa uhaba mkubwa wa nishati ya umeme Tanzania?

    Nchi tajiri na za ulimwengu wa kwanza zinjiandaa kuondokana nayo, watu wa mazingira ni miongoni mwa wanaharakati wanaoipinga vikali nishati hii pamoja na ukweli kwamba umeme ukizalishwa kwa gharama ndogo walaji wataupata kwa bei ndogo na hatimaye mazingira yatahifadhika! Tutoke vipi?
  3. PENDING'ULA

    Kiwanda Cha Karatasi Mufindi Serikali Imekuza Kwa Nani

    Katika Tanzania ya leo ambamo Watanzania tumeanza kuzishitukia nyendo za uuzaji na umilikishaji wa rasilimali zetu kwa wageni limenijia wazo kutaka kujua mchakato mzima wa kukiuza kiwanda cha karatasi Mgololo. Je Serikali yetu imekiuza kwa nani!Je haiwezekani mambo ya Ki-Richmond kuwa...
Back
Top Bottom