Search results

  1. M

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    kaka huko TUGHE kuna mabaharia tuu hakuna kitu kabisa. Hivi mtu kama huyu anasema mshahara WA raisi hauna umuhimu wowote WA sisi kuujua! Dah kweli hakuna dhambi kubwa duniani kama UMBULULA! nimeamini. Angekua Baba yangu Leo Leo ningemkana yaani ni more than IDIOT.
  2. M

    Mh Rais Kikwete hapa ndipo umetufikisha

    sasa kaka kama hukusoma elimu dunia ukaishia kusoma habari za madrasa hv unadhani ukitaka ajiriwa utaajiriwa ktk proffesional gan? labda ya ugomvi usio na kichwa wala miguu. wenzenu wanasoma nyie porojo halafu ikija ajira mnasema ooh mfumo kristo, mbona kuna waskaji zangu kibao waislam tumepiga...
  3. M

    Mh Rais Kikwete hapa ndipo umetufikisha

    kobe kabisa wewe yani unaonyesha akili zako ni sawa na kichaa watu wanaongea point hapa wewe unaleta akili za madr...... upuuzi mtupu
  4. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    acha ufala wewe picha hujaziona hapa juu ua unafikiri kwa kutumia masuburi
  5. M

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    kaka mia mi anashangaa wanaosema kuna mafanikio ni heri nchi ingeendeshwa bila raisi, ila kwa huyu nothing happen
  6. M

    Taarifa kwa vyombo vya habari kufafanua kuhusu miradi ya utafutaji na uvunaji wa gesi

    mimi naona kuna watu especially viongozi kama muhongo wanataka potosha umma. ukifatilia sakata la Mtwara utaona kuwa wana Mtwara siowamekataza gesi la hasha bali wanataka viwanda vya kusafishia hiyo gesi pamoja na mitambo ya umeme ijengwe Mtwara then hiyo gesi isafirishwe ikiwa tayari imeshakuwa...
  7. M

    Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    kaka mchanganuo wao unafahamika tuu sio mpaka uon tiketi ya mtu wewe nenda ktk website yao kwenye booking then we can talk. hivi kwa watz ambao asili yao lazima abebe mzigo akisafiri utamsaidia kweli ktk hili? pili nachid kama inavyofahamika hapo hakuna kitu inaitwa VAT sasa subiri waiweke then...
  8. M

    Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    huwezi elewa kwa sababu hauko tayari kuelewa ni hayo tuup@Jeykey
  9. M

    Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napanda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia...
  10. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    kangalo ndo leo nakaona kamezama sasa hapa ni ishu ya watesi wangu wanaonidai mana nilikua najitetea baada ya kuona tangazo sasa hali imebadilika jamaa wataniua maana wameshajua zimeingia sasa ni ishu ya kuwalipa tuu. kweli njaa bado kali
  11. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    tunaanza kuona ukweli halisi kaka hapa hakuna tumaini lolote. hebu mwenye kumbukumbu tangu sakata la salary limeanza ni miezi mingapi sasa imepita na ishu ni ileile? hakika zimwi likujualo halikuli likakwisha
  12. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    bwana machozi kweli hapa hachomoki ndo mana wakasema fikiri kabla ya kunena wenzetu wanabwatuka tuu utadhani wamefungwa radio tape.sasa aibu yake
  13. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    For sure my men. hawa jamaa ni hatari kwa mustakabali wa nchi hii
  14. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    kaka alisema ni tatizo la network yaani kale ka Program ka Epirco9 kama ulikuwa unafatilia vizuri lile sakata@ITEGAMATWI
  15. M

    Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

    Jamani hv hii nchi inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa mnaweza jionea hali halisi kwa kutembelea mbao za matangazo Muhimbili,wamesema pesa itachelewa kwa sababu mpaka sasa bado hawajaletewa toka...
  16. M

    Askofu Method Kilaini akanusha kuongea lolote kuhusu CCM

    "Kikwete chaguo la Mungu" kweli watz tuna safari ndefu sana ya kufika tunapotamani. Hv kwa mtu kama huyu anayejiita "mtumishi wa Mungu" japo ni kibaraka wa binadamu wenzie anaweza leta utabiri wa kipuuzi kiasi hichi? ifike mahala watz tuwe tunawapopoa mawe tuu hawa vibaka wanapofika altareni na...
  17. M

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    kaka hapo mia mia tena ungepiga shoka hiyo kichwa ngumu ili wengine wakiona wajifunze
Back
Top Bottom