Search results

  1. R

    Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    Subirini mtakapoambiwa, kaa chini, songa mbele, rudi nyuma, kaa chini, ruka chura, vua kambale,guu sawa ya goti,chuchumaa, he he he hehe, hwiiiiiiiiiiiii, kama mtaonekana kweli kwenye JF. Mlivyowaoga mtafyata na kumwachia nchezo Lema!
  2. R

    Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    Haijalishi! Akili yako ndogo, kwani hotuba za wakuu zinaandikwa na nani? Au hata vitabu nani anaandikaaga. Rudi shule kakariri. Iwe Lema kaandika kaandikiwa, it is very immaterial! Ila ujumbe na ukweli ndo huo na ndo maana umeumia.
  3. R

    Watanzania wa USA wanaongoza kwa ku collect food stamp,unemployment

    wewe shida yako nini? tukupeleke na wewe ukale bure? Au zimesha kusaidia sasa ndo unataka kujifanya mujanja. kwa vyovyote vile hata wewe ni mmojawapo. SO? SHUT UP! ACHA WAJANJA WAFAIDI MEMA YA NCHI, KWANI WEE HUJUI? WATU WANAPATA FOOD STAMP NA WANA MAGOROFA NA WAFANYA KAZI HUKU TZ, NA...
  4. R

    Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

    so what? Si jaona lolote jipya hapo. These are just normal things in politics and religion. Just get their emotions stirred up...peoples powers! Peoples power! You can get the same results or anything! It is a normal human response[mob psychology], especially when people are hungry and tired of...
  5. R

    Unyanyasaji wa hali ya juu Arusha Sunrise Radio...

    Mi ningewashauri hawa vijana warudi shuleni, au wafanye maandamano mazito ya kufa mtu. Hapo kitaelweka tu either wao au jamaaa.
  6. R

    Unyanyasaji wa hali ya juu Arusha Sunrise Radio...

    Fungueni yenu nanyi mjue adha za kuajili watu wasiozalisha, kama hamtawakopa.
  7. R

    Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    Hapo mmechemka, mlikua wapi siku zote. Acheni kumdhulumu babu wa watu, mwacheni akae na michango yake. By the way nani ambae sio tapeli awe wa kwanza kunyoosha mkono?
  8. R

    F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

    Dalili ya mvua ni mawingu, hii ni dalili tosha kwamba nchi imemshinda jamaa. Na asiponagalia hawa makamanda/polisi watamharibia asimalize 5yrs na peoples power[pp] wakaandamana mpaka....kieleweke. Si wameshajenga immunity na hayo mabomu na risasi moto? Yaani hapo itakuwa ni noma, yaani mshike...
  9. R

    Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

    Hapo ni wapi? Ndo majuu, au? Na hao ndo wafadhili wa ma ups, au?
  10. R

    Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

    Mbona hizo gari zimechoka sana, sio scrapers kweli? You get only what you inspect, and not what you expect. Angalia odometer, how many mileage left? Let us get deep on this!
  11. R

    Unyanyasaji wa hali ya juu Arusha Sunrise Radio...

    Si mchape mwendo, kwani kazi ni kutangaza tu. Au fungueni ya kwenu na mwiite sun shine. Au mmeforge vyeti? Kwani lazima mfanye hapo. Halafu ni mjinga mmeandika majina yenu, ina maana hakuna ajira kwingine tena, labda mfungue ya kewnu. A blessing in disguise!
  12. R

    Dr. Ulimboka hatukuelewi ! ! !

    He, bado unangoja aseme, utangoja sana. Dr. alishasema mapema sana na hamjamuunga mkono kwa lolote. kwa hiyo kijana wa watu amesoma nyakati. anajuta kuwa mtz maana hakuna anaye ungana naye katika mapambano haya. watanzania wana LAANA YA WOGA NA UPUMBAFU. HALAFU NI WAMBEYA NAMBA MMOJA. NI MA...
  13. R

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Hi Mwigulu!Remember, ''Ignorance can be cured/treated, but stupidity/ignorance is forever!'' I wish you were ignorant, but you are both stupidy and foolish. Mwana wanee ee mwana wane ee, mwana wane munoko waniukuninokolia?
  14. R

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Umesahau watu wanaotazamia mitihani au kutoa kiyu kidogo ili wasonge mbele? Mwigulu tunataarifa zake alikua mwibiaji mzuli sana na alikua hodali wa kujikomba kwa maprofesa. Haya ni matokeo ya system chafu ya elimu. Kukaliliiiiiiiiiiiiiiii. Sasa anachofanya ni compesation of poor self academic...
  15. R

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    :yawn:SI ANATUMIA MIGULU KUFIKILII. SI ANAZANI KAFIKA. SIO KOSA LAKE, HAKUPATA MALEZI
  16. R

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Ahaaa...heri w.iramba tuwakilishwe na huyo mbwa wa cdm kuliko na huyo muzuka anyetumia migulu kufikili na tyue[kichwa] kutembea. Amevimbiwa magai ya nkata[togwa]. Mwigulu cheua kwa kutumia njia mbili ama sivyo utapasuka msamba. Nakushauli uchukue hata political science online. Umetuaibisha...
  17. R

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Huyo mbwa ana akili kuliko huyo mwigulu, kama unabisha muulize huyo mbwa au mwigulu. Mbwa anajua atakua salama zaidi kuliko mwigulu muda mfupi ujao. yaani ananusa na kusoma nyakati lakini mwigulu anapwanga mwigulu tu....
  18. R

    Kenya in precarious situtation as Ethiopia's stability in doubt after Meles death.

    Mna akili fupi wote wawili na mkioana mtaleta tahira. You better block them, they have poor self image.
  19. R

    Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    mtachonga sana nyeeee
Back
Top Bottom