Search results

  1. N

    Jamani naomba kujuzwa kuhusu bei ya vigae hapa Dar es salaam

    Naomba nipewe mwanga kuhusu bei ya vigae vya chini kwa hapa Dar es salaam Vigae vya 60cm kwa 60cm, 50cm kwa 50cm na mwisho 20cm kwa 20cm vinakaa vingapi kwenye box na bei kwa box
  2. N

    Vifaa vya Umeme

    Jamani naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya umeme vyenye uhakika pamoja na bei zake kuna hizi maiswichi za AVETA zina saketi breka je ni imara, waya zipi ni nzuri mwenye kujua anijuze
  3. N

    Vidole vinauma vinaonesha kama vimelegea

    Wana jamii naomba kupata ushauri vidole vya migguni na mikononi vinauma, pia vinakuwa kama vinalegea hivi ni ugonjwa gani naomba kupata ushauri kabla sijaenda hospitali kwa anayejua tafadhari
  4. N

    Kubadilisha Navigator iliicheze DVD

    Wadau naomba mnijuze wapi naweza pata fundi wa kubadilisha Navigator itumike kama DVD.
  5. N

    Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

    Jamani naomba mnijuze wapi naweza pata madirisha ya alminium kwa bei nafuu Madirisha yapo kumi na tatu yana ukubwa wa 5 kwa 6 feet, na 2 kwa3 yapo manne
  6. N

    handle ya kushikia vioo vya mbele sitemiro za RAV4

    Jamani nisaidieni nipate handle kile kifaa kinachoshika vioo vya mbele vya RAV4
  7. N

    Hodihodi wajameni

    Hodi jamani nzobanga najiunga nayi kwenye mdahalo wa kungangiana mawazo
Back
Top Bottom