Search results

  1. ihs

    Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

    Ndugu mtoa hoja, hoja zako ni za ndumilakuwili!!! Kwanza unakubaliana na mwandishi uchwara kwamba Dr. Slaa alistahili kujiuzulu, lakini leo hii baada ya wewe kugundua -- ugunduzi wa maajabu kwamba wanachama wa chadema hawajai hata darasa moja la shule ya kuangamiza elimu Tanzania maarufu kama...
  2. ihs

    Tundu Lissu akiongea ni kama AG, MNYIKA kama Spika, Mbowe kama Waziri Mkuu

    We hujaelewa hoja kaka, swala ni uwaziri mkuu na sio Pinda, swala ni uspeaker na sio makinda, swala ni AG na sio ... bwa Matusi. Ni vyeo ambavyo vitakuwepo bila kuangalia aliyepo sasa wala chama. Umeelewa sasa??
  3. ihs

    Jaji Mark Bomani: Serekali 2 au 3 zisijadiliwe kwenye Bunge la Katiba!

    Mi sijakuelewa, kuunga mkono rasimu ya warioba ni kuunga mkono serikali tatu ambayo ndio msingi wa rasimu yote kabisa. Tusiwe wanafiki, ni either tujadili rasimu ya serikali tatu au tuitupe tuunde tume nyingine ikusanye maoni yatupeleke kwenye serikali mbili!!! Ni ulevi tu, tena ulevi wa madaraka.
  4. ihs

    January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

    Ni kweli Nchi inahitaji kizazi kipya cha kuendesha nchi yetu!! Ila chura anapenda maji ndio, ila yasiwe ya moto!! makamba hana charisma ya kuongoza taifa hili la Tanzania. yeye atakua anatumika tu.
  5. ihs

    Ushauri kwa Mh. John Mnyika

    Ushauri wako ni wa hovyo sijapata kuona, wewe ndio unayeona mazuri kuliko nafsi ya mtu mwenyewe??? Sio bure, we umetumwa
  6. ihs

    Sababu kuu za kuporomoka kwa CHADEMA na umaarufu wa Dr Slaa

    Takwimu za kuporomoka kwa Dr Slaa na chadema zimetolewa na Research Institute gani ambayo ni reliable??? Au zimetolewa na CCM???? Acha kuchekesha UMMA bwana!!!!! Be serious. Mpaka Raais wa nachi mwenyewe anafanya sherehe ya kuwa karibu na vijana wa bongo movie na bongo flava hujui kwa nini...
  7. ihs

    Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa - Je ni maandalizi ya uchaguzi 2015?

    Kila kitu kudhibiti kudhibiti, sasa hii ni kwa maslahi ya nani? Au kwa maslahi ya uchaguzi wa wanasiasa??? Tuna vyombo vya mahakama ambavyo vinaweza vikasimamia ukosefu wa maadili na pia ku prosecute ---- sina uhakika kama tuna IT ACT italayosimamia mambo ya information technology -- Hili...
  8. ihs

    In Edward Lowassa, I trust...

    Siku zote system ni kubwa kuliko mtu!! hebu niambie, Lowassa ataweza kuinyamazisha na kuidiscipline system mbovu ya ccm ambayo imekomaa kiasi hikii?? Hili ndio swali gumu la Edward Lowassa!!
  9. ihs

    Kwanini ni rahisi Clouds FM kumpata Mh Rais kuliko taasisi nyingine?

    Clouds FM / TV wasamehewe bure --- wameamua kutumika na CCM na utawala uliopo madarakani ili kujiongezea fedha, miradi na nguvu ya Media hapa nchini. Imeshindwa competitiveness business, lazima ijigande na serikali au kujipendekeza ili ipate business za serikali kirahisi. Ikija serikali...
  10. ihs

    Taarifa ya Ikulu ya JK kuhusu Bomu la Zanzibar Ijumaa jioni

    Tunafahamu, issu ya Mabomu ni fear Propaganda za wana ccm ku pre empty strategies za wapinzani wakekote nchini!!!!! Amini usiamini.
  11. ihs

    Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    "Nimeanza kwa utangulizi huo nikienda sambamba na anuani ya thread yangu juu ya washauri wa viongozi wawili wa juu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema). Nimefikia hatua ya kujiuliza hayo kutokana na mwelekeo mbovu na kile kinachodhihirika kuwa kufa kwa Chadema kama chama kikuu cha...
  12. ihs

    CCM imefanya makubwa, Tunayapimaje?

    Wana JF, Kumekua na mass openings ya watu wa CCM kujinadi kwamba wamefanya makubwa sana nchi hii hasa ukijaribu kuwalinganisha na wapinzani. Wao, ccm wameendelea kudai kwamba wapinzania wanafumbia macho mambo makubwa ambayo ccm ime ya achieve katika serikali zake tatu zilizopita. Yawezekana...
  13. ihs

    CCM imeshindwa kuboresha maisha ya Mtanzania ktk mbinu Mtambuka!!

    Wana JF, Naomba kuchangia mawazo juu ya mustakabali wa Nchi yetu hasa kwenye kuboresha maisha ya Mtanzania wa chini. Tujiulize maswali yafuatayo: 1. Je, ccm inaona vema bado kuendelea kusafirisha ng'ombe kutoka kanda ya ziwa na kati kwa kutumia mafuso na malori makubwa kuja Dar es salaam...
  14. ihs

    WAZAWA: Swala Oil & Gas (Tanzania) Plc will be selling up to 9,600,000 shares at a price of Tanzania

    NOp! Nop! Nop!! Hii sio kamuni ya wazawa, hii imekuja ili kupre empty ile kampuni iliyoanzishwa na Mzee Reginald Mengi kupitia Tanzania Private sector Foundation - TPSF, ambayo in real sense ndio hasa kampuni ya wazawa tunayoisubiria watoe share zao.. Wananchi msidanganyike hata kidogo...
  15. ihs

    Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

    Unaongea kitu gani aise?? hujui wala huoni tofauti ya Ukawa na CCM, ccm ni chama cha kisiasa - ukawa sio chama cha kisiasa!! Kuhusu kumiliki mali, nani kasema kumiliki mali ni haramu? Ni haramu endapo mali zako ni dispensary za watanzania umeziiba na kujijengea mali, ni haramu endapo umeiba...
  16. ihs

    Mwigulu Nchemba unatupeleka wapi? Exchange rate ya dola leo ni tsh.1,685/=

    Mchumi Nchemba??? Acha utani bwana, Nchemba amewahi kupractice uchumi wapi? hata family economics hajui. We unamweleza mambo ya international economics. Haaaaaa heee haaaa, tafuta wa kumwuliza bwana, Ncehmba utamwonea. Nchemba muulize mambo ya uzandiki na vuguvugu la kuuwa upinzania kwa ghrama...
  17. ihs

    Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

    Uchunguzi uliufanya, umetumia criteria gani kufanya uchunguzi? TOR zako zilibase kwenye nini? Nani alikuajiri kufanya uchunguzi husika? kwa faida ya nani? "Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania" ----- Kwa msemo huu, hii ni kete ya kuanzisha chama...
  18. ihs

    Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Hakuna picha yoyote inayoonekana, picha umejijengea mwenyewe tu! harusi hupangwa na ina ratiba maalum kabisa, Je umeshawahi kusikia msiba ukipangwa na kuwekewa ratiba??? Wapo watu wanaoishi hivi sasa na watakupa ushahidi tosha wameshawahi kukosa mazishi ya mama zao, baba zao , shangazi zao na...
  19. ihs

    Kinana: Mnaojipitisha urais kabla ya wakati tusilaumiane

    Sifa za Abrahaman KInana kuwania Urais: 1. Sio Mzawa asili wa Tanzania 2. Ni muislam 3. Hana Ushawishi kwenye CC ya CCM 4. Ni kibaraka wa Wakubwa kwenye Biashara haramu 5. Anaunga mkono sera ya uraia wa nchi mbili ambayo ni kete ya membe ya Kuwaficha/kuwakinga wahujumu uchumi wa taifa
  20. ihs

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Komba ni Mbakaji wa watoto wadogo, tunaomba aruhusiwe aingie msituni akabake wanyama wenzie huko. Huku anatuharibia sifa wana ccm!!!
Back
Top Bottom