Search results

  1. PARRIE KIJIKO

    Kwa first year na wanachuo wote

    acha uongo mkuu, kweli kuna graduate gani wa BE, CM, LMV, ARCHTECTURE, INTERIOR DESIGN, EE, GM ambae bado anakula ugali wa mama home!makampuni kibao yapo, serikalini nako uhitaji si haba
  2. PARRIE KIJIKO

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    st fransis mbeya au st maryz ulete iringa
  3. PARRIE KIJIKO

    Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    nlikua six,nlipoteza wanangu kibao sana kina max,gota etc!!!!!but walau kuna vitu fulani vilibadilika
  4. PARRIE KIJIKO

    Kuhusu registration chuo cha Ardhi

    Hostel za savei plaza zishafungwa bana
  5. PARRIE KIJIKO

    Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    Unataka kubebwa huna lolote
  6. PARRIE KIJIKO

    Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    Ardhi hakuna shule ngumu kama jamaa alivotisha but kuna school kama tatu ni za motoooo hiyo ya BE ani SCEM na SURP(mipango miji) hizi zinaunafuu but kwingine kuna balaa
  7. PARRIE KIJIKO

    Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

    Hahahah mwenge wa uhuru
  8. PARRIE KIJIKO

    Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    Naomba msaada nisaidiwe kuyapakua maana siwezi soma PDF
  9. PARRIE KIJIKO

    Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    Ulikua form ngap those days?and mwaka gani coz tosa migomo ilikua endless
  10. PARRIE KIJIKO

    Naomba kuelekezwa, nataka kununua Kiwanja

    unataka nunua kiwanja sehemu gani ili nikuelekeze kwa undani zaidi
  11. PARRIE KIJIKO

    Fomu namba 69 na 70 za uthamini wa ardhi na makazi

    Yaaaaah hivi ndivo ilivo!this ans is definately from a Land valuer
  12. PARRIE KIJIKO

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    Hati miliki ya kimila inatolewa kwa ardhi za vijiji na hati miliki kuu hutolewa kwa maeneo ya mijini!!! Na hizi zinasimamiwa na sheria mbili tofauti!hati miliki za kimila zinatolewa na halmashauri za vijiji wakati za general land zinatolewa na kamishna wa ardhi!!
  13. PARRIE KIJIKO

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    Hati miliki ni Certificate of right of occupancy hii ni legal instrument na proof ya umiliki wako wa intrest fulani katika ardhi!!wakati haki miliki ama Right of Occupancy ni umiliki (ownership na possesion) juu ya ardhi ambayo kwayo hati hutolewa. Ahsante
  14. PARRIE KIJIKO

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Kwa sheria ya zanzibar,Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi kule. 2 issue ya building permit sio kazi ya watu wa ardhi pekee. Wasimamizi ni wahandisi na watu wa mipango miji,mtaalam wa ardhi anahusika kukagua umiliki tu
  15. PARRIE KIJIKO

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    hekari 15 mjini?sina hakika kama it is possible! maana ni sqm 150,000 na matumizi ake ni yapi?
  16. PARRIE KIJIKO

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    eneo linatakiwa liwe limepimwa na ramani yake ipate kibali cha Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani! baada ya hapo Afisa ardhi atahitajika kufanya ukaguzi ili kujilizisha,then utatakiwa kulipia gharama zifuatazo fee for certificate 1600000,deed plan fee 6000,survey fee kama bado,land rent,stamp duty...
Back
Top Bottom