Search results

  1. E

    Kwenu CRDB: kwa hili mnamtendea haki mteja wenu???

    Mnamsaidiaje mteja wa CRDB alietumia card yake ya ATM kwenye ATM ya benki nyingine, ana- command kutoa pesa na asiipate at the same time inakuwa ishakatwa kwenye account yake??? Mimi ni muathirika wa hilo. Nime-command kutoa hela kwenye ATM ya Exim - M.City na hazikutoka, dakika ile ile...
  2. E

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Hivi hawa watu akili za darasani ni shida, hata za kuzaliwa nazo pia ni taabu. Mungu tusaidie ktk hili
  3. E

    Siri ya sheria ya mfuko wa hifadhi za jamii"hazina hela zimeisha""uliza waliopo wamekwangua zote

    Mdau unaesema Serikali imeishiwa, nakubaliana na wewe kabisa 100%. Nina mfano wa taasisi moja kubwa ya elimu, mfanyakazi ninakatwa 10% ya mshahara, na 10% mwajiri anilipie. Lakini cha kushangaza hiyo ya mwajiri naambiwa eti inapelekwa nssf moja kwa moja na serikali. Unapoenda kuulizia huko nssf...
  4. E

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Kuna list ilitolewa na mdau, lkn nikiangalia majina yaliyotajwa leo 'source Mwananchi' mengine hayapo. Je kuna list mpya?? Kama vipi warudhishe zile 30k. Au ndio posho za madiwani wetu kule?? Kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo!!!
  5. E

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Wadau kuna list mpya ya waliopata viwanja Gezaulole? tuhabarishane pls
Back
Top Bottom