Search results

  1. M

    Naogopa kufanya mapenzi

    Mmmh Bujibuji huwa unanipa raha nisomapo story zako
  2. M

    Sijawahi kumpenda mke wangu kiasi hiki

    Hongereni kwa mtoto ndo sasa uzidishe penzi sio tena huruma ya ng'ombe mara unasahau unaanza kurukaruka mama analea
  3. M

    Wamiliki TV Watishia Kuzima Mitambo ya Digital

    mie napita tu wala sijui nchi inakwendaje mradi napata mahitaji muhimu hayo mengine hayanisumbui
  4. M

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    Jamani watu kwa wivu na choyo? kwani kipya kipi mmekiona kwenye hiyo cv ya Ridhwan hadi maneno yanawatoka hivyo hamuachi chuki binafsi hivi kweli tutafika kwa vile mtoto wa rais basi watu wanamponda kweli binadamu hatuna wema kazi ya uwakili afanye yeye wewe huku unabwata tafuta kesi umpelekee...
  5. M

    Iddi Azzan Hivi ni mbunge?

    Mambo hayooooo
  6. M

    Raisi Kikwete kama kawa

    Hongera Raisi wetu watu watakufa midomo juu kwa umbeya la muhimu kazika kamaliza sasa endeleeni kuumia, kila afanyalo baya lipi bora kwenu hamuachi? watu tuache chuki za kisiasa bado hatujakomaa kisiasa tunaleata chuki za paka na panya tutaishia pabaya
  7. M

    Nimetoa rushwa leo kwa traffic

    Hee ya leo kali unajisifia ujinga kweli hata ukidoo na mkeo inaonekana unasema
  8. M

    JK akagua ukumbi mpya wa mkutano wa kimataifa-Dar es salaam

    Watanzania wengi wetu ni watu wa kupenda kusema kama alikuwa na muda wa kulifresh akaamua kugagua ujenzi wa ukumbi kakosa nini hebu mengine tuyaache yapite kwani kila kitu lazima u comment? Hapo sasa ni watu wanaonyesha siasa za chuki? Ya ngoswe aachiwe mwenyewe ngoswe mtaumia jamani
  9. M

    Namtafuta Kaka Mmoja anaitwa Twalib Mukri(Prezidaa Sinza Star)

    Habari za wakati huu wana Jamii, ninashida namtafuta kaka mmoja anaitwa Twalib (Moloto) au amezoea kujiita majina ya wacheza mpira wa nje alikuwa ni mwenyekiti wa timu ya mpira sinza star. Nina shida nae sana kama kuna mtu anaweza kunisaidia kumpata nitashukuru.
  10. M

    The beautiful little girl named Mykayla. Eating Cannabis Oil saved her life.

    Hi any one anaejua cannabis oil anielekeze jamani mie na mgonjwa yuko serious with cancer please nijulishe hata leo nitafute
  11. M

    Ridhiwani akanusha kuhusika na tanzania loan society

    Ok tumekupata ahsante kwa taarifa ila elewa kuwa hii nchi kwa sasa kuna watu watakupaka matopee kwa sana ili tu kukuchafua pamoja na mzee ni vizuri pia kumuomba Mungu akuepushe na yote kuwa nae karibu wala hutopatikana na baya huo ndio ushauri wangu, Mungu yupo kwa kila mmoja amuombae...
  12. M

    Na hitaji mtu wa Kufanya naye kazi kwa aliye Somea Anima Science na Mwenye Muelekeo wa Kujiajili,

    Good Idea boy kama tukiwa na watu serious kama wewe hata ajira zitakuwa nyingi keep it up
  13. M

    Tapeli rachel atafutwe

    Hao wamejaa mjini yaani watu wamekuwa na roho za shetani kabisa hivi hizi elfu 30 hata ukipata kwa watu 10 itakufikisha wapi bila kuwa na kitu cha kufanya mtu unatapeli hela ndogo kwa mtu ambaye hana kazi hujui unamzidishia matatizo? Hebu turudi vijijini tukalime ili tuepukane na yote hayo...
  14. M

    mapenzi

    Mmh huyo kicheche atakusumbua sana kuna wakaati ukiwa kama mwanaume rijali unatakiwa utoe maamuzi mazito bila kujali athari upande wa pili wee endelea kumuhurumia utajikuta na vidonda sehemu za siri hapo ndo utajua huruma yako imekufikisha wapi anatanua na wengine wewe anakuweka kama spare upo...
  15. M

    Msaada kwa hili

    Nenda ofic zao ziko mikocheni njia panda ya kwenda coca cola pale utapata msaada unaotaka
  16. M

    The 6000 Year Old Kiss Found In Hasanlu, Iran.

    Rip jamani hayo ndo mapenzi ya kweli unakufa huku unakisss duuuuh
  17. M

    masteji show wa mwinyi juma mbele ya viongozi wa kitaifa

    It's a shame Mungu hapendi kabisaaa
  18. M

    Msaada kuhusu mafao ya NSSF..

    Ahsante sana kwa maelekezo yako wengi yatatufaa
  19. M

    FastJet: The fight started

    Yetu Macho mafahali wawili wakigombana shika jembe ukalime wakipatana ........................
Back
Top Bottom