Mwana FA Acha kutumika.clouds hawana kitu wammfanyia jide visa bado tuzo kachukua sasa wameona watafute zeze na wanaona wwamekupata... hao ni wase ... maana wewe na jide mana mashabiki loyal sana na shoo yako ingependeza NA kujaa lakini mmchawi Wako kakupeleka pabaya. Clouds mharo tu.
Hakuba ubishi kuja clouds in watangazaji wazuri. Lakini lazima wasome alama za nyakati. Kama wanadhani enzi Zile ndo izi wamepotea njia. Check jide alivyowaaibisha sasa ivi wanamtumie. Mwana FA kuwagawa mashabiki wa bongo flaviana. Wake up mwana fa clouds wanakutumia tuuuuuuuu
Mbona hamsemi kuhusu vyombo vya habari vilivyyohairisha program zao NA kuonyesha misiba ya wengine siku nzima. We una bifu NA jide na mamwanafa unatafuta wa kukuunga mkono katafute pengine... useless character
kwa nini sisi watanzania tunapenda kua papet wa wanasiasa leo wanasema hichi tunasikiliza kesho wanasema hichi tunasikiliza, mwisho wa siku chuki zao na matatizo yao yanakua yanajileta kwetu yanatutengenezea chuki kati yetu sisi na mwisho wa siku sisi ndo tunakua tukikumbwa na matatizo. jipende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.