Search results

  1. Kabwela

    Mabadiliko ya viongozi TBS yanatuangusha au kuturudisha nyuma??

    Kwa wale wanaoifahamu TBS yetu na viongozi wake, tunashawishika kusema kuwa SIASA imevamia kwenye mambo ya kitaalamu (kwa mtizamo wangu potofu) Kwa duru za ndani ya TBS ni kwamba viongozi waliotolewa hawakuandaliwa ofisi wala majukumu mapya kasoro wachache sana. Wengi kati ya viongozi...
  2. Kabwela

    Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

    Uzuri wa picha hii ya Kova ni kuwa Serikali ya Kenya nayo itatoa tamko rasmi kwa kuhusishwa mkenya na kueneza uchimvi wa kikundi cha mauaji kutoka Kenya. Kwa hiyo script ya filamu bado iko kwenye maandalizi na inahitajiediting kubwa. TUSUBIRI TUONE NA MUENDELEZO WAKE
  3. Kabwela

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Kwa mwenye akili timamu atatafakari ya nani atakayekuwa mshindi kati ya serikali (isiyo na madktari wa kutosha na inawafutia usajili wa muda ma-ntern) na madaktari na kwa pembeni wananchi. Ukiangalia tafiti nyingi zilizokwisha fanywa madaktari wanaofanya kazi kwenye taasisi zinazomilikiwa na...
  4. Kabwela

    Nataka kumng'oa Vita Kawawa (jimbo la Namtumbo) kupitia CHADEMA... Ushauri pls!

    Numbalile Kisaka! Wewe ni wa kutoka kilambo kipi katika jimbo hilo ili walau niweze kutoa walau hoja ambayo inaweza kuchangia kufanikiwa katika adhma yako. Unayosema ni kweli uwezo wa ndugu yetu Vita katika kupeleka au kushirikiana na wanaNamtumbo ni mdogo sana. Kwa kuanzia, jaribu kuanza...
  5. Kabwela

    Cell Phone Buying Guide

    Nakumbuka hata vodacom wanayo hiyo huduma ya post paid muda mrefu sana. Labda wengi wetu hatukuwa na taarifa hizi. Fuatilia makampuni ya simu hasa kwenye promotion na taarifa za kibiashara kuhusiana na simu ghali kidogo kama Blackberry na ofa mbali mbali utagundua wewe umechelewa. Mada ni nzuri...
  6. Kabwela

    Dawa za Malaria zitengenezwe TPRI Arusha tu!

    Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani...
  7. Kabwela

    Dawa za Malaria zitengenezwe TPRI Arusha tu!

    Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani...
  8. Kabwela

    Regia Mtema is No More!

    Sisi ni wa m'mungu na kwake tutarejea. Hii habari ni kweli na nimeisikia hapa Tumbi hospitali.
  9. Kabwela

    Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Miaka 50 ya Uhuru: Tufurahie au tuililie nchi yetu? Johnson Mbwambo KARIBU wiki nzima hii, gumzo linalotawala mazungumzo ya Watanzania popote pale walipo; ni sherehe za miaka 50 ya uhuru ambazo zitahitimishwa Ijumaa, Desemba 9, na ambazo tumeelezwa kuwa zitahudhuriwa na marais saba wa nje...
  10. Kabwela

    Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Kwa wale wote waliuopita barabara eneo la resort watakubaliana na waziri kuwa tuna njia nzuri na hazina msongamano, maisha bora kwa kila mtanzani. Kuwa tegemezi kupitiliza mpaka nusu karne kweli tumepiga hatua kubwa sana kama Iraq na Afghanstan
  11. Kabwela

    Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Kwa wale wote waliuopita barabara eneo la resort watakubaliana na waziri kuwa tuna njia nzuri na hazina msongamano, maisha bora kwa kila mtanzani. Kuwa tegemezi kupitiliza mpaka nusu karne kweli tumepiga hatua kubwa sana kama Iraq na Afghanstan
  12. Kabwela

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Naomba kuuliza kama mTZ, kwa mantiki rahisi kabisa, iwapo CUF waliunga mkono muswada wa katiba kwa 100%, rasimu ya sheria imeshasiniwa na kuwa sheria. Wanaonana na JK kuwasilisha hoja ipi maana walishakubaloana tayari bungeni na sheria imeshasainiwa, hivyo watabadilisha kipi? Je NCCR wataonana...
  13. Kabwela

    Foleni Mbezi-Kibaha mizani inaashiria nini?

    Juzi mchani nikiwa natoka kibaha kwenda mjini Dar nilikwama njiani eneo la kibamba CCM kwa muda wa saa 3. Jana jioni nikiwa natoka kibaha kwenda kiluvya madukani imenichukua saa 2 (mita 800) kwa gari kutokana na msongamano wa magari. Inaanza kuzoeleka kuwa kukitokea tatizo lolote maeneo hayo...
  14. Kabwela

    Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

    Tatizo kubwa tulilo nalo wengi wetu akiwamo aliyeanzisha mada ni kuwa tumeshahamisha mitazamo yetu na kuifanya tegemezi moja kwa moja. Maana hata rais wetu anatufundisha tuendelee kuomba na kutegemea vya wazungu kwa kutusisitizia kuwa asipokwenda kuomba misaada nje tutakufa njaa hivyo...
  15. Kabwela

    Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

    Walichoafanya wabunge wa CCM ni kama walivyofanya wabunge wa KANU Kenya wakati wa Moi na walipopeleka rasimu ya katiba wananchi wakaukataa, na kushinikiza waandae muswada wanaoutaka na ndio wamefika hapa walipo. Tuwape presha mpaka waogope na wakileta rasimu ya Kichakachuzi kama walivyozoea...
  16. Kabwela

    Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

    Akipata nafasi kuongea kwenye media atasema waliomtupia nyanya wametumwa na CHADEMA
  17. Kabwela

    Website ya bunge ni ya kichochezi

    Nadhani ni website nzuri na huyo si peke yake hata Mtaalamu wa mipango kama kanisa katoliki taarifa zilikuwa zinafanana na huyu. Na hawa ndio waliopitisha muswada wa KATIBA kwa 100%. waTZ muone wawakilishi wenu wanvyolala Bungeni na kuwaza kupandishiwa mishahara kwa kusinzia tuu.
  18. Kabwela

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Mkuu Daudi mchambuzi nakubaliana nawe hasa ukizingatia msemo wa kuwa wenye kuongelea mambo ya watu ni wenye upeo mdogo (low IQ) na hasa ya uongo inawezekana ikawa IQ hasi kabisa (verge of instability) wakati wanaojadili hoja na dhana (ideas) ni wenye upeo na uelewa mkubwa ( higher IQ). Hili ni...
  19. Kabwela

    Muswada wa Katiba Mpya: Hotuba ya Msemaji wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni (Tundu Lissu)

    Mnambowa na wanaofikiri kama wewe na waziri anayedai kuwa yanayowakilisha maoni ya wananchi kuwa wametumwa, ni kweli wametumwa na wanaowakilisha. Pili, unaposema kutumwa unaonesha picha yako halisi kuwa wewe hutumwa tu bila kufanya au kusema ya kwako ndio maana kila ukweli unaposemwa inakuwa...
  20. Kabwela

    CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

    Ndugu Duble Chris wala usihangaike kumuelekeza asiyejua kuwa hajui ni heri angekuwa anafahamu kuwa hajui. Ila wananchi wa Mbeya wanafahamu tatizo ni wao kina Omr na wanaofikiri kama yeye kuwa wtz ni mambumbumbu kuliko wao
Back
Top Bottom