Search results

  1. drgeorgemayalla

    Ni wakati sasa tuwe na Hospitali-Tiba za Vyuo Vikuu

    Walishindwa gharama kuiendesha hivyo serikali ikairudisha Muhimbili National Hospital
  2. drgeorgemayalla

    Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Wanabodi, Kuna taarifa kwamba treni toka Dar imepata ajali na mabehewa zaidi ya matano yameanguka na kujeruhi na kuua abiria wilayani Bahi mkoani Dodoma. Chanzo rasmi Bado ila inahusishwa na kuharibika daraja. Taarifa rasmi zitawajia.
  3. drgeorgemayalla

    Serikali mwangalieni kwa jicho kubwa meneja TRA wa Masasi

    Lupaso ni kijiji ndani ya wilaya ya Masasi
  4. drgeorgemayalla

    Kisutu: Mzigo wa Madini wenye thamani ya Bil 61 Wataifishwa, ni ule Uliokamatwa Uwanja Ndege wa Dar

    Sasa Mbona Mr Kuku mzigo wake 5.4B ulichukuliwa,akapigwa faini mil 5 au miaka 5? Sheria bana
  5. drgeorgemayalla

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    I will real remember you,pamoja na sera za chama chako by then you were the gud Prezo,u did the best. Mr Benjamin Mkapa umenitangulia kila kitu,mpaka mauti,nakuombea sana huko ahera ikiwezaekana,upate pumziko. Ulichoka kwa uliyoyakuta na mliyofanya........tuachiie uliyoyaacha,tutaelewana tu...
  6. drgeorgemayalla

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    I will remember you,pamoja na sera za chama by then you were the Prezo,u did the best. Benjamin Mkapa umenitangulia kila kitu,mpaka mauti,nakuombea sana huku ahera ikiwezaekana,upate pumziko. Ulichoka kwa uliyoyakuta........tuachiie uliyoyaacha,tutaelewana tu. The serventa has being called back...
  7. drgeorgemayalla

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Halafu hatuonani,shida yako hutafuti maskini ndugu yangu,ha ha haaaaa
  8. drgeorgemayalla

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Check me, unaweza kaa kwangu.
  9. drgeorgemayalla

    Naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya Diploma

    Hakuna daktari ngazi ya diploma,huyo anaitwa AFISA TABIBU. Daktari ni kuanzia degree yaani MD
  10. drgeorgemayalla

    VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

    Sijawahi fumaniwa au kufumania,ila huwa nashangaa sana why we alwaz deal with the victim and not mhusika? Mama umemfumania mumeo nyumbani kwako,amekimbia,unampiga mwenzako kama hivyo,unajua aliambiwaje mpaka akaja hapo nyumbani? Au mume unamfumania mkeo na mwanaume,unagombana na mwanaume...
  11. drgeorgemayalla

    Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    There is alwaz a light at the end of the tunnel. Be strong
  12. drgeorgemayalla

    Kipanya atoka na mpya jamani

    Asijekamatwa na wasiojulikana tu
  13. drgeorgemayalla

    Serikali ya [emoji1241] inatuona Wananchi Wajinga kweli!!

    Mkuu ndo wametuona wote wajinga. Washakuwa wajenzi wa mnara wa babeli,hawaelewani wenyewe
Back
Top Bottom