Search results

  1. 2

    Mkuu wa Mkoa Mwanza: Tumejipanga kinguvu na kifedha kuwang'oa wabunge wa CHADEMA

    Mwehu tu huyo! Mchepuko wake wa Dubai unamchanganya. Kaonekana jnia akiusindikiza. Cdm inamjua vizuri sana toka a-town. Kimjini ni joka la kibisa tu.
  2. 2

    UKAWA Wamshukia Kikwete kama mwewe, Dr. Slaa asema Familia ya Kikwete ni mnufaika wa Escrow

    mkuu jk pango lote la escrow anajua kila kitu. alilinzisha yeye 1994. siku zote harbinder singh akipita pale VIP JNIA hutambulishwa kuwa ni mgeni wa rais. wapokeaji ni wa ikulu. anachosema dr slaa ni kweli kabisa mzee wa kuzoza anahusika 150 pc.
  3. 2

    Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Yaani jk ni mwizi tu. Hata hotuba alikuwa anaitoa huku anaona KBS anatupiga fiksi. Mdau wangu kanijuza kuwa huyo harbinder sing a akipita pale airport vip alikuwa anatambulishwa kuwa ni mgeni wa rais . ndo maana sikushangaa content ya hotuba ile. This is only in Tanzania.
  4. 2

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    mwigulu haraka ya nini? unaleta thread halafu unawaambia mods wafatilie. au hao magaidi wenzio kina mchange ndo wamekupigia ukiwa control room yenu ya ugaidi na ukawahi kupost? yana mwisho haya.
  5. 2

    Mwili wa Kamanda Major Khatibu Mshindo wawasili toka DRC.

    Mkuu, marehemu ni mzanzibari na nilisikia ikiongelewa kuwa mwili wake utasafirishwa kwenda huko.
  6. 2

    Mwili wa Kamanda Major Khatibu Mshindo wawasili toka DRC.

    amani iwe juu yenu wanajf. muda mfupi uliopita nilikuwa jengo la mizigo JNIA na nimeshuhudia mapokezi ya askari wa jeshi letu , JWTZ aliyefariki ktk mapambano ya kuwafagilia mbali waasi wa m23. ilikuwa ni huzuni kubwa sana. RIP Major.
  7. 2

    CCM yamvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid

    niniii?ccm itabaki TANGANYIKA? Nani kakwambia? ccm itakufa. muungano na zenji ndo unawafanya msurvive. jk kashasema mjiandae kwa serikali tattj.
  8. 2

    USHAHIDI: Wananchi wakataa vitisho vya mabomu, risasi za moto, mikutano ya CHADEMA

    mkuu, na JK kawaambia wakae mkao wa kula kuipokea serikali ya TANGANYIKA. Yaani waanze kuzoea sasa kwanza kukubali serikali 3 sbb wananchi wameamua pili kuwa chama cha upinzani. PEEEEEEEOPLES POWEEEEEEEER
  9. 2

    Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo...

    mkuu kuna baadhi ya vipande vya magogo huwa vinaungua taratibu hivyo nadhani wakati wa kuweka kwenye magunia bila kukusudia inawezekana kipande hicho kikawekwa jwenye gunia. hebu fikiria gunia hilo maalim seif ndo kalinunua, je hiyo ndege itakuwa salama kiongozi?
  10. 2

    CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

    hongereni nyie madiwani mlofukuzwa na chama cha madawayakulevya. hakika nyie ni mashujaa hasa sbb mmesimama upande wa haki, that is wananchi. sababu imedhihirika kuwa mnachopigania wazee wa madawayakulevya wanakipinga, then jiungeni na wapigania haki wenzenu ambao wanapatikana ktk cdm. huo ndo...
  11. 2

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    well said mkuu zito.
  12. 2

    Wachina Wanawinda Ndani ya Serengeti

    mkuu gesi waache wawinde watakavyo sababu hayo ndo malipo ya ule mkataba wa siri uliotiwa saini beijing mtoto wa kwanza wa nchi hii alipokamatwa na zigo la bwimbwi hukoo uchina. na majuzi mhe weka mbali na tembo alienda kukazia mkataba zaidi kwa kwenda kuwaelekeza maeneo ya kuwinda. kwa hiyo...
  13. 2

    UK heated debate on Kenya,denies endorsing Raila

    mkuu ben ni huyo huyo! chapombe anamtetea chapombe mwenzie uhuru.
  14. 2

    CHADEMA bado nina wasiwasi na jinsi tunavyojiamini

    mkuu nakuunga mkono kabisa. toka 2010 daftari la wapiga kura halijarekebishwa kujumuisha wapiga kura wapya ambao ni vijana wengi sana. magamba wanalijua sana hili ndo mana wanatake advantage.
  15. 2

    Stendi ya mabasi ubungo ilisha hamia mbezi .

    yale yale ya ving'amuzi. wamechemka wanaona aibu kurudia analogy. magamba wana maamuzi ya jazba bila kuangalia future itakuwaje.
  16. 2

    Suala la kufoji vyeti: Rais JK anza na waziri Mulugo!

    mukulu, jf mwisho wa maneno. nadhani jk atakuwa kateua waziri wa jf kiaina apitie data humu.
  17. 2

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    kenyata wanataka aanze kuendesha hivi hivi na ukitilia maanani mama bensouda kasema kuwa ICC ina concrete evidence dhidi yake! naamin judiciary ya kenya itatoa uamuzi ambao utakubaliwa na wakenya wote. ALLAH waongoze majaji wa kenya wafikie uamuzi wa haki.
  18. 2

    Polisi kuwatawanya wamachinga kwa nguvu Arusha Kesho? Wataua tena?

    mkuu jackbaur policcm watakuja early in the morning. machinga wajimobilize wakeshe hapo. km eneo lilitengwa for them na likauzwa kifisadi kwa fisadi then the right to defend it is inevitable. wakeshe kulilinda.
  19. 2

    Tanganyika Ikirudi Tutarudisha Mipaka ya 1886 kati ya Zanzibar and Tanganyika

    swadakta mkuu. wazenji weusi wote ni watu wa tabora. walichukuliwa na tiptip hadi bgmy then sagulasagula ikafanyika pale wengine wakaishia unguja.
  20. 2

    Aibu kubwa makampuni ya Simu za mikononi Tanzania ( Safaricom inasimamiwa na malaika?)!

    mkuu, yaani ni sawasa a na kumpigia mbuzi gitaa. dawa ni kung'oa mizizi kabisa ya magamba ili tianze alifu.
Back
Top Bottom