Search results

  1. Flein

    2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

    Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabay....kwamaana wewe Bwana Mungu u pamoja nami
  2. Flein

    Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    Tatizo lako Paschal nakuona kama vile unamdhihaki mzaa baba kiaina. Hizi nyuzi zako kila nikiziangalia mankusoma naona kabisa ulikia unaandika ukicheka
  3. Flein

    US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

    Muhuni huyu anataka watu waingie kichwakichwa kutoa povu ili waonekane wapotezwe. Maana yeye mwenyewe hasimeki anasimama wapi
  4. Flein

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Wewe na mtoa mada na musiba je? Mnatafuta nini kama si shibe ya matumbo yenu kwa gharama ya watanzania
  5. Flein

    Mr Slim is pretty lucky for having Mr Mango outside the house

    But with all the systems we are still being hit by Mr Slim via Mr Bald whether u accept it or not
  6. Flein

    Baba atuhumiwa kumfanya bintiye wa miaka 5 mkewe

    Imani za kishirikina hizo
  7. Flein

    Kuuliza sio ujinga

    quadrillion ndo jina lake sahahi, mwenzenu nimegoogle
  8. Flein

    Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

    Rosemarie umeuliza swali zuri, ni hivi Kuokoka au kuokolewa kwa neema maana yake ni sisi wanadamu baada ya anguko la baba yetu Adam, watoto waliokua wanazaliwa hawakua kwa sura na mfano wake Mungu kama ambavyo Adam alikua, ukisoma maandiko Mwanzo 5:3 utasoma ukweli huu kwamba sisi tuliozaliwa...
  9. Flein

    Kuona vitu vilivyopotea na mwizi aliechukua

    Ndugu polesana,kwanza kabisa niseme kuwa mimi ni mkristo hivyo napenda kukushauri kuwa achana na huo mpango wa kwenda kwa waovu kufanya yaliyo machukizo mbele ya MUNGU wetu.unazo option nyingine ikiwemo ya kusamehe maana itakuondolea uwezekano wa kumtenda MUNGU dhambi. Nasema hivyo maana hadi...
  10. Flein

    Unataka kuboresha mahusiano? Soma hapa.....it is worth it!

    Very nice lecture bro,nimejifunza kitu kuwa mahusiano ni kibarua cha kudumu tena cha kukifanyia kazi si kwanza it just come naturary
  11. Flein

    Nisaidieni ugonjwa huu utaniua.

    Ndugu polesana kwa tatizo hilo, kwa ufahamu wangu wa mambo ya rohoni nakushauri ufike kanisani upate maombezi utapona. Mimi nilikua na tatizo hilo kwamuda mrefu sana hadi nimefika kidato cha pili, niliwahi kukosa mitihani kwa sababu ya kipandauso, nilitumia dawa mbalimbali ila nilipona...
  12. Flein

    Elections 2010 HATUDANGANYIKI kuwa kauli mbiu ya Waislamu kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Hivi kuna haja ya viongozi hao kushindwa kwenda kuhudhuria futari?si kuna msemo usemao usikatae wito kataa neno? nini shida sasa?
  13. Flein

    Ndugu Mtanzania: Je unajua hili?

    Ninachokiona mimi kuna haja ya sisi tunaopata habari hizi kuwahamasisha wengine hasa wale ambao wanaamini kuwa siasa ni jambo baya wanasahau kuwa ndo inayoleta mustakabari wa nchi. Hapa ndo penye kazi maana kama tutafanikiwa kuwahamasisha ndugu zetu basi hawa mafisidi lazima tutawashinda tu...
  14. Flein

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hongereni sana Chadema kwa siasa nzuri za kisasa. La muhimu ni kukaza uzi mwakani tufanye mambo makubwa ya mabadiliko
Back
Top Bottom