Search results

  1. Mpasua Jipu

    Kibanda adharauliwa

    Ushauri wa Kibanda kuhusu Mulinda na Ratifa umedharauliwa na Husein Bashe. Kibanda alishauri Mulinda aondolewe kwenye uhariri kwani anatumiwa na dola kupotosha sakata lake, upo ushahidi kwamba amepewa mamilioni kwa kazi hiyo, na Ratifa adhibitiwe kwani anatumia gazeti kuficha kazi yake maalumu...
  2. Mpasua Jipu

    Mwandishi FISADI adhaminiwa kwa mil. 30 na MAFISADI

    Yule mwanahabari FISADI Charles Mulinda hatimaye amepata dhamana ya milioni 30 kutoka kwa mafisadi wenzake. Habari zilizotufikia jana jioni zinadai kwamba dhamana hiyo imekuja baada ya Alex Msama kuja juu na kumfikisha mikononi mwa polisi kwa madai ya kukimbia na kitita chake cha shilingi...
  3. Mpasua Jipu

    Charles Mulinda mikononi mwa polisi

    Sakata la aliyekuwa mhariri mtenda wa gazeti la DIRA limetinga mikononi mwa Kenyela. Inasemekana hatua hiyo imekuja baada ya Alex Msama kufuatilia fedha zake kiasi cha shilingi milioni 30 bila mafanikio, fedha hizo alipewa Mulinda kwa makubaliano ya kufanya kazi katika kampuni yake kwa zaidi...
  4. Mpasua Jipu

    Inasemekana Charles Mulinda alitimka na Mil: 30 za Msama

    Wacha Mulinda ajizolee mshiko wa mpenda sifa, maana Msama anapenda sifa kuliko kitu chochote hapa duniani. Hiyo ndiyo dhambi ya dhuluma aliyoijenga Msama, inawezekana hata huyo Mlinda alidhulumiwa ndio maana anajilipa mwenyewe.:A S-baby:
  5. Mpasua Jipu

    Mwizi wa haki za waandishi anayetetea haki za wasanii

    Jana nilishuhudia mfanyabiashara Alex Msama akiipongeza serikali kuhusu kusudio la tetea haki za wasanii hapa nchini, mimi naona huu ni unafiki kwa sababu yeye pia ni sumu katika tasnia ya habari hapa nchini kutokana na tabia yake ya kuwatumikisha wanahabari bila kuwalipa haki zao. Tangu Dec...
  6. Mpasua Jipu

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Bunge letu sasa limegeuka uwanja wa vijembe na kutupiana lawama, nawasihi wabunge wafuate kilicho wapeleka Dodoma.
  7. Mpasua Jipu

    Encouraging news about Dr Ulimboka!

    Siri kubwa ya nani anahusika katika sakata zima la kumteka na kumtesa kiasi hicho anaijua yeye mwenyewe, tuache kushikana uchawi bali tusubiri apate afya njema kisha arejee nchini na kumtaja mchawi
  8. Mpasua Jipu

    Siasa za nchi hii kero tupu!

    Ukitaka kujua kero na madudu ya wanasiasa wetu fuatilia vikao vya bunge
Back
Top Bottom