Mwizi wa haki za waandishi anayetetea haki za wasanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi wa haki za waandishi anayetetea haki za wasanii

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mpasua Jipu, Jul 26, 2012.

 1. Mpasua Jipu

  Mpasua Jipu Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilishuhudia mfanyabiashara Alex Msama akiipongeza serikali kuhusu kusudio la tetea haki za wasanii hapa nchini, mimi naona huu ni unafiki kwa sababu yeye pia ni sumu katika tasnia ya habari hapa nchini kutokana na tabia yake ya kuwatumikisha wanahabari bila kuwalipa haki zao. Tangu Dec 2011 mpaka leo hakuna correspondent wa gazeti la DIRA anayejua sura au rangi ya mshahara wake. Nina uhakika wa hiki nilichoanka hapa 100%, kama Msama atabisha nitawaletea orodha ya wanaomdai na namba zao za simu mpaka kiwango cha pesa. Namshauri kabla ya kutoa pongezi alipe kwanza waandishi wake kabla laana haijamgeuki sababu Mungu hapendi wanafiki.
   

  Attached Files:

  • 1.jpg
   1.jpg
   File size:
   136.7 KB
   Views:
   18
Loading...