Search results

  1. Las Mas Bobos

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 29 Septemba 2014 - Maboresho ya Rasimu na Upigaji Kura

    Some HEADS are empty, some HEADS are full of nothing!
  2. Las Mas Bobos

    Wanaume...Eti Mpaka Karne Hii Bado Mwachagua Wachumba kutokana na Umbo!!! ACHENI UBAGUZI.

    Pole dada Shenazi, hata sisi tunabaguliwa kwa kukosa @ (ankara). Inanishangaza hadi leo hii wanawake wanachagua waume kwa pesa, wasio na pesa watapata wapi uroda? Lakini mbona wewe sio mbaya kihivyo?
  3. Las Mas Bobos

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Hapa ndio unadhihirisha ujinga wako. Kwani hapa ulileta mada ya Kiingereza bora na kibaya au ulikuwa unamzungumzia mtu Adili? Unaumwa kichwani wewe, jibu hoja, habari za Kiingereza achana nazo.
  4. Las Mas Bobos

    CCM Huu ni UDINI wa aina yake

    Kweli basi Lowassa ni mdini, manake kaichangia misikiti mingi tu. Angalia post yangu nyingine
  5. Las Mas Bobos

    CCM Huu ni UDINI wa aina yake

    Acheni wivu wa kike na kunung'unika kama mmevunja ungo juzi, Lowassa ni Mkristo, ushiriki wake kanisani unawauma wapi? Oilcom anavyowajengea misikiti yake ile asiyoruhusu wanawake kuingia, kuna mtu amehoji kwa nini? Haya....... Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli, Mh. Edward...
  6. Las Mas Bobos

    Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

    Nikifikiria tu hizo fedha zitatoka wapi, natamani kumpigia magoti Mh. Tundu Lisu aache huo mpango. Huruma!
  7. Las Mas Bobos

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Huu muungano ungeishia hapa ulipofikia na kila mtu arudi kwao period! Tukiendelea namna hii, kitaachofuata ni ujirani mbaya. Heri uishe sasa tubakie kama majirani wema
  8. Las Mas Bobos

    Live TBC uzinduzi wa kiwanda cha Saruji Mtwara

    Huu ndio upuuzi wenyewe. Alitaka kuwekeza Dar kwa lipi wakati malighafi anazotaka kutumia zipo Mtwara. Hii ni changa la macho, huyo alitaka kuwekeza huko huko Mtwara na wala sio Dar
  9. Las Mas Bobos

    Live TBC uzinduzi wa kiwanda cha Saruji Mtwara

    Serikali haiwajali wanaMtwara wala mtu yeyote. Hicho kiwanda ni cha Dangote na sio serikali. Yenyewe hiyo serikali yako imeua vyote vilivyokuwepo na viwanda vya kubangua korosho vimegeuzwa ma-godown ya kufanyia miradi yao.
  10. Las Mas Bobos

    NIMSAIDIEJE MKE WANGU (msaada tafadhari)

    Sina cha kukushauri juu ya mke wa namna hiyo zaidi ya kulikabidhi suala lako kwa Mungu. Siku utakayohamia kwenye nyumba na ukaona anapatana na mama mwenye nyumba, basi ujue mwisho wako uko karibu, atakuwa amekutana na mchawi mwenzake.
  11. Las Mas Bobos

    Kibadeni kocha mpya Simba

    Ipo siku tutasikia Profesa Maji Marefu ni kocha wa Simba Koko SC ya Msimbazi. Kwa hiyo mnacheza Kinesi safari hii?
  12. Las Mas Bobos

    Mwanaume kukaa kwa wazazi!

    Hii sio mada ni manung'uniko. Kuna kitu alikitegemea sasa kimekwamishwa na circumstances ndio anatoka povu. Anaongea as if watu wote wanaokaa kwao anajua sababu za kukaa kwao nyumbani. Kuna watu wana majumba makubwa hasa, ila wanaathiriwa na upweke. Hivi ukiwa na akili timamu unaweza kumuacha...
  13. Las Mas Bobos

    Mwanaume kukaa kwa wazazi!

    Inaelekea baba yako hajatulia na kwenu mna vyumba viwili na sebule.
  14. Las Mas Bobos

    Mwanaume kukaa kwa wazazi!

    Mbona umekuwa mkali hivyo, kweli nia yako ilikuwa kujua tu? Hebu rejea hii kauli yako mwenyewe halafu jiulize kama huna kitu moyoni: Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe! Yaani kumbe unakereka kabisa! Hivi kwa mfano, mimi nikiwa na tabia ya kutumia...
  15. Las Mas Bobos

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Sidhani kama alichanganyikiwa, He was at his best state of mind. Hiyo ndio akili yake, mchumi yule. Na kwa jinsi anavyotetewa nimeelewa kwa nini yupo pale anagombea na kushindwa miaka nenda miaka rudi: HAMNA MTU MWINGINE MWENYE AKILI ZA KUMKARIBIA KWA HIYO YEYE NI BORA sasa tafakari kama...
  16. Las Mas Bobos

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    ''Kushindwa katika jimbo la Uzini mimi nilikutarajia, na mimi hilo wala halikunishangaza. Uzini inakaliwa na Makristo wengi wametoka Bara, makanisa ni mengi sana huko....hatuwezi kushinda Uzini'' Jusa Ismail Jusa Ladhu Naibu Katibu Mkuu (CUF) - Mahojiano na Mlimani TV Mimi nikajiuliza tu...
  17. Las Mas Bobos

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Hata Lipumba angelala msikitini sio shida, shida ipo kwenye alichoenda kufanya huko. Ile kauli kwamba Sheikh Basaleh alimsifia kwa kumwezesha Kikwete ni siasa. Akili zako ni fupi kiasi huwezi kutofautisha ya Lowassa ambaye anawaambia watu wakazanie maendeleo. Au mtu akiwaambia wenzake wapige...
  18. Las Mas Bobos

    JWTZ waanza tabia ya kutembeza viboko jion/usiku

    Hili zoezi lao limechelewa kuanza, lingeanza mapema ile Janury kwenye upuuzi wa kwanza, ungekuta sasa hizi mnaulizia barabara na hospitali tu shule hamna haja nazo kwani akili zingekuwa zimewajaa vichwani kupitia ma_akoni. Si mbaya hata hivyo, cha muhimu tu wapatiwe mwanzi mbichi kwani mkorosho...
  19. Las Mas Bobos

    Attention to John Mnyika na Halima Mdee

    Huu ushauri wako anzia nao kwenye chama chenu cha magamba. Yule mzee wa mikasi anapoenda kwenye shughuli zake za kukata utepe, basi msivae miguo yenu ya magamba kwani Zahanati ya Kijiji ni shughuli ya umma na sio ya CCM.
  20. Las Mas Bobos

    Jambo leo: Mtwara wakubali gesi itoke.

    Mkuu Mohamedi Mtoi, jambo lolote linalohusisha watu wengi huwa na mushkeli. Jambo Leo linaripoti kuwa WAMEKUBALI, hizi tutaita propaganda, lkn litakaloripoti WAMEKATAA tutasema limesema kweli. Jambo la kujiuliza ni kwamba hawa wote wawili wanamhoji nani? Wakati tunaona watu na mabango mitaani...
Back
Top Bottom