Search results

  1. M

    Naomba sana mnisaidie

    Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima...
  2. M

    Ya leo kali...

    Asubuhi asubuhi napita maeneo ya Kurasini kwenye uchochoro wa kelekea Uhamiaji. Mbele baada ya ule uchochoro kuna fremu mbili tatu na pia kuna saloon ya kike. Namuona mdada white amekaa lakini kwa mbali nagundua kuwa amekaa ndivyo sivyo. Moyoni nikawaza ivi huyu amejisahau au! Nikasema...
  3. M

    Sijui alikuwa binaadamu au la!

    Hii ni story ya kweli ambayo imenitokea mimi personally. Mwaka jana mwanzoni, mwezi wa 2 au 3 hivi nilikutana na baba mmoja mtu wa makamo hivi. Kiumri anaweza kuwa sawa na baba yangu mdogo (last born kwao baba) kama 49-50s hivi. Nilikutana nae pale Sokoine drive karibu na New AFrica Hotel...
  4. M

    Kujifukiza udi, naombeni mnijuze wataalamu

    Kwa sie watu wa bara wengi wetu hatuna huu utamaduni wa kujifukiza udi, ila wenzetu wa pwani naona wanao huu utamaduni. Hivi kazi ya udi ni nini hasa na je wake kwa waume hujifukiza hii kitu au wanawake tu? Mimi kiukweli harufu ya udi naichukia sana kama vile navyochukia moshi wa sigara. Majuzi...
  5. M

    Tumshauri huyu dada kweli amekwazika sana.

    Habari wana JF. One of my workmates leo amepokea video clip ya ajabu sana toka kwa mkaka ambae sio mpenzi wake, wala close friend ila anadai alitambulishwa na boyfriedn wake. Wamekuwa wakichat mara chache kwa whatsapp hasa kutumiana msg za merry xmas n.k. Leo kamtumia video clip ya wakaka...
  6. M

    Mlio kwenye ndoa kuweni makini, ona huyu alichofanywa

    Habari zenu wana jamii, Leo nina ushauri kwa wale walioko kwenye ndoa, na nimeona niwape ushauri huu kufuatia yalompata dada yangu. Dada yangu aliolewa miaka ya 1990 na baba mmoja ambae by that time alikuwa mfanyakazi ktk shirika moja la uma. Alifukuzwa kazi, na sifahamu sababu ya yeye...
  7. M

    Hodi

    Nimefirahi kupata nafasi ya kuwa member wa JF. Naombeni ushirikiano wenu wadau. Asanteni
Back
Top Bottom