Search results

  1. Sal

    Lulu amrithi Zari

    R.I.P. in advance Chibu...
  2. Sal

    Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

    Wema ana nyumba tangu lini. Na sio yeye tu, sidhani kama kuna msanii hata mmoja wa kike bongo mwenye nyumba, zaidi ya kupanga na kuishi maisha ya kifahari kwa kutegemea wanaume waliokosa akili.
  3. Sal

    Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

    Nahisi kakosea tu ni laki 7....!!! hahahaaaaaa!!!! Vigodoro amuachie nani huyo Wema, ana akili hata ya kufanya biashara ya mtaji wa laki moja yule... tuondole ----- hapa... story zenu za vijiweni ndio unatuletea hapa ili tufanyeje.
  4. Sal

    Ukimya wa Lady Jaydee

    Ruge ana manage wanamuziki au anawatumia na kuwanyonya. kawageuza mirija bila wao kujijua. Waliofanikiwa kama kina Chibu na Jide ni jitihada zao wenyewe. Aliyemfikisha Jide pale alipokua alikua Gadner, maana hata alipoachana na Gadner alishatoka kwa mnyonyaji Ruge for years and yet she was doing...
  5. Sal

    Ukimya wa Lady Jaydee

    Maana Ruge ndio mungu mtoa rizki... pyuuuu...!!! watu mkikosa ya kuandika. Eti Ruge... Who is Ruge in this world...
  6. Sal

    Ukimya wa Lady Jaydee

    Ruge alikua nani kwa Jide na wewe?? Ninachokiona Jide kaanguka baada ya kuachana na Gadner, pamoja na kashfa zake nyingi baada ya kuachana lakini Gadner alikua na mchango mkubwa sana kwa huyu dada. Watu wanashindwa kujua kua support sio lazima iwe pesa. Moral support ambayo Gadner alimpa Jide...
  7. Sal

    Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Mie naona niko njia panda, sijaelewa kitu. Kwanini huyu bibi ndio katolewa kafara wakati mpaka kina Lukuvi hizi pesa wamepewa? Hebu naomba mnijuze maana sielewi kwanini yeye ndio awajibishwe! What about the rest? Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Sal

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Unamuomba radhi nani huyu mbulula! Kwanza kachelewa sana kurudisha taji! Eti kashutumiwa! Kweli kihiyo huyu! Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Sal

    Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

    kuhadi wa kiba lol... roho karibu ikutoke kwa hasira....
  10. Sal

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    Matatizo ya rushwa kwenye mikopo sio NMB peke yako, karibu bank zote watu wanalalamika. Mkopo hausogei mpaka utoe ahadi ya kutoa kidogo kidogo kwa watakaokushughulikia, utadhani hawana mishahara wakati hizo ndio kazi zao. Stanbic, Standard chartered, Barclays na nyingine nyingine hali moja...
  11. Sal

    Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

    nyumba umalize toka 2007 mpaka leo huhamii, alijenga ya nini? hebu tuwekeeni hiyo nyumba maana hawa wasanii wa bongo kwa usanii ndio wenyewe.
  12. Sal

    Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

    Tatizo la wa TZ wanadhani mchango lazima uwe wa mali au pesa. Wanashindwa kujua kua mchango wa mawazo na nguvu ya mtu hushinda mali na pesa wakati mwingine. Gardner, niko na wewe, you've done so much kwa yule mwanamke, unahitaji mgawango wa mali, pasu kwa pasu. Hakuna asojua kua bila wewe Jide...
  13. Sal

    Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

    huyo baba alikua wapi wakati diamond alipokua Tandale akiuza mitumba na vocha...!!! leo kafanikiwa ndio baba unajitokeza? hakuna laana inayompata mtoto kutoka kwa baba aliyemtelekeza. Yanayomkuta diamond ni ya kawaida, katika maisha kuna kupanda na kushuka. ulitaka diamond awe juu hadi anaingia...
  14. Sal

    Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Aliambiwa lakini gari hakupewa...
  15. Sal

    Wadada jihadharini na kusifiwa sifa ambazo kiukweli hamna, zitawagharimu sana

    Mbona tunalijua hili, kwanza anayekuja kwa nia njema wala hana sifa zilizopitiliza. Ye kimya utamgundua kaoza kwa jicho lake kwake... Watoto wa chuo na shule labda ndio mnawapata kwa style hii.
  16. Sal

    Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

    Huna sababu ya kua piriton maana na wewe unaweza ukakutana na mtu akaku bore siku ya kwanza na usirudie tena. Hii ni pande zote mbili.
  17. Sal

    Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

    Lazima ujisikie umeonjwa kama you expected more than that. Kwa maturity yangu first time sex sitegemei chochote kwa yule mtu, nahesabu ilikua starehe ya mara, akirudi poa asiporudi na mie naishia vile vile na yeye nimuache na maswali. Manamke hutafutafutwa jamani, sio wewe kutwa ndio...
  18. Sal

    Facts about kissing

    Kizaizai umeongea kwa kweli. Namna ya ku kiss ndio mpango mzima, maana kuna wengine, tobaaaa!!! hutataka arudie tena, hata ujitahidi vipi kuelekeza kwa vitendo ha respond ipasavyo. Mtu kama huyu ni talaka faster, usije ukanyofolewa kiungo :wacko:
  19. Sal

    Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

    Nadhani kusengenyana kifamilia ni tabia za watu na watu. Hata waliooa wake wadogo, mawifi wengine ni tatizo. Mdogo wangu wa ameoa mwanamke alomzidi 5 years. Wanavyoelewana familia tumekubali na tunampenda kupita hata wale walooa wake wadogo. Umri sio tatizo, most important ni mnapendana na...
  20. Sal

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Sijamaliza kusoma yote maana ni ndefu kidogo ila nitaipitia tena. Gharama za atakachovaa bibi harusi mtarajiwa siku ya send-off na kitchen party sio za mwanamme, labda kama unataka kujitutumua usaidie. Send-off hasa kwa mwanamke mwenye wazazi ni jukumu la wazazi kumvisha binti yao. Sijui kwa...
Back
Top Bottom