Search results

  1. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Acha ushamba wewe, kama hujui kitu uliza uataelezwa kwanini mtu kaamua kufanya alichokifanya......stop being so judgemental. Thanks, Serengeti
  2. Serengeti

    Igunga - Makubwa yaliyofanywa na Rostam ni yepi?

    Mambo yote mtoto, baba wa yote ni katiba yenye mfumo wa uwajibikaji wa viongozi na elimu kwa jamii yetu haswa waishio vijijini. Watanzania tuombe katiba yenye maana na sio mambo ya serikali tatu au mbili.....muungano unaweza kuvunjika ila maisha ya watanzania yanahitaji EMERGENCY CARE...
  3. Serengeti

    Igunga - Makubwa yaliyofanywa na Rostam ni yepi?

    Hata hao viongozi wanajua sana unachokisema hapo, hawaendi kuomba kwa ajili ya hao maskini wala Taifa in general, wanaenda kutafuta maslahi yao binafsi.
  4. Serengeti

    Maalim Seif amzika Kinana milele huko Kusini

    Umesahau na wale wanonufaika na system ilivyo sasa ndo wanao itetea ccm siku hizi.
  5. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Why don't you worry about your life my friend.....i am entittle to my life are you?
  6. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Akiwa Model type nitafurahia zaidi ila sidhani kama kuna tatizo lolote mtu kusema anachokitaka. Pia kumbuka sitafuti mfanyakazi wa ndani.... so uzuri ni moja ya kigezo kikubwa kuliko vingine vyote, the rest are just bonus. Do you have a problem with my preferences? i can't help you on that my...
  7. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    The fun thing is "i don't know and you don't know me......LOL" Kazi tunayo wabongo......
  8. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Giza gani.... you need to change your mind set, sio lazier watu wakutane bar....lol
  9. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Wabongo bana hamna dogo......Kama haikuhusu soma endelea na shughuli zako. walio serious wamenicheck tayari. Sio lazima utoe maoni yako kwenye kila thread unayoiona hapa....jibu kitu ambacho kinakuhusu acheni tabia ya kutoheshimu wenzenu. Huu ni utaratibu ambao unasaidia watu walio busy na...
  10. Serengeti

    I am looking for a Beautiful Tanzanian woman for future serious relationship

    Hi Ladies, I am a 42yrs male, 6 ft tall and medium body type, degree holder and i am looking for a beautiful woman at her 24 to 33, no kids with a degree, 5'4" - 6ft, athletic to medium body type. for serious prospects please email me at mako9905@gmail, if you need more information regarding...
  11. Serengeti

    Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Nae yuko kwenye payrol, ananufaika na system unadhani atasema nini.......but then he is entitle to his/her opinions. thanks, Serengeti
  12. Serengeti

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Haya yote yasinge fika au kupotezea bunge wakati kama tungekuwa na sheria na utamaduni wa "check and balance" plus maadili mema ya utumishi. tunachohitaji hapa ni "system" sio watu tu. Huu sio wizi pekee unaojulikana hapa nchini, serikali inasaini na kulipa kampuni nyingi bila hata kuchunguzwa...
  13. Serengeti

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Inakuwaje Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake anashangilia viongozi wezi na majambazi wakubwa wa maendeleo ya nchi yetu? sijaelewa kabisa hapa au tunaishi Dunia tofauti hapa. utakuta anaeshangilia ni mtu hana chochote. Acheni ushabiki wa Yanga na Simba hapa, tunaongelea maisha ya watanzania...
  14. Serengeti

    Tanzania Kwa Yenyewe ni Moja ya Maajabu Saba ya Ulimwengu

    Tatizo kubwa ni kwamba viongozi wanakatiwa kidogo wanasaini mikataba na ndo imetoka hiyo. hawakusanyi ushuru wala kufuatilia mapato au kujua ni kiasi gani kinazalishwa katika hiyo migodi. what a waste we have in our beautiful, richest country!!!!!!
  15. Serengeti

    Tanzania Kwa Yenyewe ni Moja ya Maajabu Saba ya Ulimwengu

    Nimecheka kama mtoto anatekenywa kwa ajabu namba 7, maake nilipata shida sana kuelewa nini kilikuwa kinaendelea nilipokuwa naendesha katika hiyo barabara ya Ali hassan Mwinyi. ha ha ha. Polisi wanaamini ni uamuzi wa busara kabisa du!!!!!!
  16. Serengeti

    Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

    Ha ha ha ha ha kapoteza muda wake tu, maake sidhani kama hao mabinti walimkana baba yao George Wasira na kusema yeye ni baba yao. Kama kiongozi wa ngazi ya juu wa serikali anapoteza muda wake kuelezea uhusiano wake na wananchi wenye haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa, basi inaonekana...
  17. Serengeti

    Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

    Yes ni watoto wa George B. M. Wasira ambae ni mmoja wa wauasisi wa CDM and proud to be!!!!!!!!!!! na sidhani kama kuna utata wowote ila hakuwa na sababu yeyote ya kusema hayo kwenye vyombo vya habari, hii inaonesha ni jinsi gani hawa viongozi wa CCM hawana majukumu ya kufuatilia. Nchi inaibiwa...
  18. Serengeti

    Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    Mwenzangu unamaanisha ni kosa gani mtoto wa mtumishi wa serikali au chama kingine kujiunga na CHADEMA? kila mtu ana haki sawa kuchagua chama anachoona kinaendana na fikra zenye kuleta maendeleo katika jamii ya watanzania. Do not judge a book by its cover!!! Hiki ndo ninaipendea Tanzania...
  19. Serengeti

    Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    LAZIMA AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA 1ST...ANGESAIDIA SULUHISHO SWALA LA ZANZIBAR/PEMBA--NI AU/UN DIPLOMAT..TATIZO NI GEOGRAPHIC BALANCE NA DINI ITAFANYA ASIWE NA SIFA KWA WAKATI HUU..LA MSINGI SIO MBUNGE WA KUCHAGULIWA (KIKATIBA)
Back
Top Bottom