Search results

  1. M

    Kwa wale wa chuo cha kodi (ita) dar es salaam soma hapa!

    Kwa yoyote aliye chaguliwa chuo cha kndi Dar ita naomba tutafutane mimi ninashida ya hostel sijui zinatosha au nianze mchakato wa kusearch room Mikocheni B.Tafadhari mwenye kujua au anayepiga pale anijulishe.
  2. M

    Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

    Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.
  3. M

    Kuhusu madaktari wanao pandikiza mbegu kwa wanawake wagumba na kupata watoto nchini kenya.

    Tafadhari aliyesikia hili au anajua anisaidie maana naitaji kujua.
  4. M

    Wale mliochaguliwa chuo cha kodi (ITA )dar tutafutane

    Habari wana janvi mimi naomba kukutana na 1st yr wa ITA maana nataka msaada kutoka kwao.
  5. M

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanza kupeleka fedha za waliokopeshwa vyuoni wiki ijayo

    Kwa wale mliopewa mkopo mikopo hiyo itaanza kupelekwa vyuoni wiki ijayo tamko kutoka kwa kaimu mkurugenzi akiongea na wbndishi wa Habari jana hivyo ni habari njema ya juweza kupunguza tatizo la ucheleweshwaji wa fedha vyuoni.Aksante
  6. M

    Wasichana wanaotaka hosteli cbe na st john dodoma zinapatikana hapa.

    Zipo hostel kwa ajiri ya watoto wa kike 2 zinapatikana kwa bei nafuu sana karb kwa wale wanaohitaji.
Back
Top Bottom