Sioni tatizo kama wewe au Waislamu wakiamua kufanya hivyo wao kama wao. Binafsi yangu hilo ni swala lenu kama Waislamu. Sifikiri kama kuna mtu amekataa msifanye hivyo. Mimi nakataa kufanya hayo uliyoyasema kwa kutumia kodi za watanzania. Mimi ni mpagani, iweje nitoe kodi yangu kuendesha dini...
Usitumie lugha kama hii ndugu yangu. vita ni mbaya , mbaya, mbaya sana Mtanzania mwenzangu. Omba Mungu aepushe nchi isifike huko. Ogopa vita, Ogopa njaa. Omba Mungu tusifike huko
Watanzania tunaongea sana................ lakini vitendo mmmmmhhhh............ Miaka ya 1970 Air Tanzania Corporation ilianzishwa sambamba na Kenya Airways.
Hivi ninapoandika, Kenya Airways anasafirisha abiria dunia nzima, ATCL ina ndege moja ya kukodi.
Huko nyuma, tulikuwa na kiwanda kimoja...
Watanzania tunaongea sana................ lakini vitendo mmmmmhhhh............ Miaka ya 1970 Air Tanzania Corporation ilianzishwa sambamba na Kenya Airways.
Hivi ninapoandika, Kenya Airways anasafirisha abiria dunia nzima, ATCL ina ndege moja ya kukodi.
Huko nyuma, tulikuwa na kiwanda kimoja...
Ndugu wasomaji, ninawashauri kuwa jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Pengine utaniuliza, wewe umesimama wapi? Nataka nikuambie mimi sisimami popote(kwa maana ya kuwa mimi nasimama katikati). Kati yangu mimi na wewe hakuna anyejua chochote na kama unajua huwezi kujua kwa undani na kwa...
Mimi nadhani topic hii haijawa wazi vizuri. Mpaka sasa hivi sijajua ni msingi upi unaotumika kuandaa mtihani wa dini. Labda tungepata sababu za wale waliokuwa wameamua kuwepo mitihani hiyo watuambie lengo lilikuwa nini. Kuna wakati nilishawahi kusikia mahali kuwa wale wanafunzi wanaochukua PHD...
Haloo wasomaji wa jamii forum, mimi ni mwanachama mgeni, nimekuwa nasoma makala mbalimbali zinazowasilishwa na wachangiaji mbalimbali. Asanteni sana kwa kunielimisha mpaka nikaona ni vyema nijiunge.
Kwa upande wa mada iliyo mbele yetu, naomba muhusika awe makini, kwani ajira hazipo hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.