Search results

  1. M

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Yahan hapo wanaonyesha upendeleo wa Hali ya juu sababu ya kuzuia
  2. M

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Nimependa point zako nikweli mtu kama Dr alikuwa nania ya dhat Kwa watanzania Hana bud kuungana na makamanda kwakuwa ukomboz ni Sasa
  3. M

    Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Wakili yupo jana nilikuwa nae maeneo ya kigamboni
  4. M

    Wizi kwa mawakala wa M-Pesa; Vodacom kulikoni?

    mara nyingi kwa tukio kama hilo lazima huyo mteja lazima hawe hanajua namba ya sim ya wakala na halishawai kusave namba yake ya sim kwenye phonebook ya sim ya wakala hanachafanya mteja ni kuedit msg ya mpesa aliekuwa nayo halafu hana forwad kwa wakala kama msg na kumbuka kwenye phonebook ya simu...
  5. M

    Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    swali la kwanza kuna haja yakuwa na mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wakati kuna mkurugenzi wa wilaya. swali la pili lini chadema wataanza kuwa na wajumbe wanyumba kumi kwa sababu tunaona ccm wameweza kwakuwa wajumbe wa nyumba kumi ndio wanajenga chama hasa wamama sasa chadema wanampango gani...
  6. M

    Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    swali la kwanza kuna haja yakuwa na mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wakati kuna mkurugenzi wa wilaya. swali la pili lini chadema wataanza kuwa na wajumbe wanyumba kumi kwa sababu tunaona ccm wameweza kwakuwa wajumbe wa nyumba kumi ndio wanajenga chama hasa wamama sasa chadema wanampango gani...
  7. M

    Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    unajua mtoa mada nimemuelewa kidogo hanajaribu kuangalia kuwepo kwa train na brt kutaondoa msongamano ktk ya mjini kama utashindwa kuondoa msongamano basi swala la pesa kutumika vibaya litahusika kwakuwa lengo la project yeyote nikutatua tatizo lililopo me naona tuangalie unapojenga barabara...
  8. M

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    count on me hapo i need people like u hakuna kuongea bila kuja na wazo mbadala lazima tujue hakuna kazi hilikuja bila mtu kuanzisha lazima kuwepo na haja yakucreate kazi wenyewe
  9. M

    Madakitari waliogoma, wafukuzwa

    Kwa hili bado sijahafiki hata kidogo pamoja na uchache wa madocta bado tunajeuri ya kupunguza hao wachache tulionao, hivi tutafika kweli kwenye uwiano unao hitajika na hao wachache waliobaki si watakuwa na mzigo mara mbili coz watakuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji huduma kuliko idadi...
  10. M

    Picha & video: Campus mpya ya chuo kikuu cha afya na sayansi Mloganzila, Kisarawe

    Another kigamboni project on paper hakuna kitu kitakachofanyika kama hilivyokigamboni yamebaki maneno
  11. M

    school fees ya master programm

    wadau naomba msaada nataka kujua figure kamili ya ada pamoja na michango yote mpaka unamaliza master ya environmental technology and management hinayotolewa na ardhi university
  12. M

    M-pesa, tigo-pesa, airtel-money.

    kiukweli voda na tigo hawatoi lain kwa mawakala wapya hila fanya mpango wakumtafuta aggregator wa voda hanaweza kuwa na lain ambazo hazifanyi kazi huwa wanataratibu yakuziswamp na kuwapa wateja wenye kuzihitaji so unaweza kunicheki nikakuhelp 0712145660 au nenda super star karibu nakona...
  13. M

    Naombeni msaada wenu nimeshindwa nianzie wapi mkiwa kama ndugu, jamaa, marafiki, kaka na dada na da

    problem ya undergraduate wengi tunafikilia kuajiriwa hatutaki kudhubut kufanya biashara hata kidogo but ninavyojua biashara inalipa kama ukiwa seriaz
  14. M

    Wafanyakazi wa Vodacom na NSN mmejiponza wenyewe. Msitafute mchawi wenu. Ni nyinyi wenyewe.

    Mkuu nimekusoma mia ya mia hakuna cha kuongeza umoja ndio kila kitu ukipewa nafasi yakujieleza sema pale pale huli wakusome lasivyo unakuwa mnafiki tu kama wazungu walitoa muda wakashindwa kutoa dukuduku uo ni wehu
  15. M

    Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

    naungana na mtoa mada kama unaona ujavutiwa na mada usika piga kimya sio kila kitu ucomment leave it hili mtoa mada hajue hakuna cha maana alicho andika hili ndio soln lakin sio kukaa na kucoment kwa maneno mabaya mnakuwa hamna tofauti na mwigulu na livistone wakiwa wanajibu hoja ngumu za cdm...
  16. M

    Sijaehesabiwa- Sijui kama Nitahesabiwa.

    kwani sikuna taratibu kwa wale wasionamakazi maalum wanahesabiwa hata barabarani mbona me bado hata sijahesabiwa na sijui lin coz natoka asubuhi narudi night sasa nadhan kuna shida kidogo ktk mipango yao watashindwa kupata idadi kamili ya watu kama wataendelea kufuata utaratibu mmoja wakwenda...
  17. M

    Hii sensa kiboko?

    me nashangaa sna mpaka sasa ninapo ishi tungi kigambon sijamuona karani hata mmoja nyumbani hata barabaran hivi wanahesabu kwa aina mmoja tu ya dejure au wanatumia mpaka defacto
  18. M

    JWTZ proffessionals vipi?

    Wakuuu hii kazi ya jwtz ni ishu wala haisomeki kama zaman nasikia watu walishapeleka application form makao makuu ya jeshi lakin hilikuwa kimya kimya hata me nilipata info to late but nikajaribu kuuliza kwa wakuu wa vitengo wkasema wanampango wakuchukua lakin kupitia jkt but nafasi zitakazo baki...
  19. M

    Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.

    kwani mtoa mada hana undugu na manyanya au njemba maana walioko madarakani ni ccm na sio chadema kwani mtu kudai haki yake ni haramu au kutaka maslai ni haramu sasa kama maslai madogo usiseme kwakuwa ukisema utakuwa umetumwa na chadema kwaiyo wanaodai maslai wote ni chadema basi kazi hipo kwaiyo...
Back
Top Bottom