Search results

  1. E

    Dah! Kweli akili ni nywele.!

    Hongera kwa kutafsiri ni wachache wa ivyo uyo mzee ni sawa na Compyuta kasoro Rugha
  2. E

    Ingekuwa vipi(1).

    Ingekuwa vipi Hesabu za serikari zisingekuwepo
  3. E

    Pedeshee Agonga mtoto hadi kufa

    Heheheheeeee, badala ya kusikitika nimecheka sana uyo baba wa mtoto ni tahaila azimtoshi japo anamjua mungu
  4. E

    Majanga

    Madini yetu- majanga, Kilimo-majanga
  5. E

    Nitoke vipi baada ya ban!

    Kwa iyo alikuwa amekalili kila baada ya mda huo anaingiza uyo ni kiazi tu inasikitisha lakini inachekesha na inatafakarisha sawa Bwana labda walikuwa mafrimansom
  6. E

    Mlevi aleta gumzo bar baada ya kutoa offa...

    Japo muhudumu zilikua zimefyatuka asiweze muelewa nia yake yeye ninani alijichanganya mala kinyaji mala supu naye yupo tu nzuri iyo ila inabidi uwe baunser
  7. E

    Namtafuta mke wangu

    Hata kama hakuwepo mkewe ila aliwasaidia wengi. Sasa ikawaje?
  8. E

    Namtafuta mke wangu

    Hiyo ndiyo picha halisi ya ulimwengu wa sasa kuharibika Si mtoto, Si Mtu mzima, Si mwanafunzi wote hakiri ni moja na uyo nampongeza alifanya vizuri aendelee hata kama aibiwi mkewe.
  9. E

    Fungua hapa: Kitu gani ukikikumbuka huwa unacheka sana?

    Siku muheshimiwa alipokuwa akitaja OTU badala ya UTO.
  10. E

    Hoja zangu 13 Katiba Mpya.

    KISWAHILI kiendelezwe kuwa ruga ya taifa kiwekewe mkazo kama ni wawekezaji wawe wanajua kiswahili kama awajui basi wajifunze kwanza kabla ya kuekeza au kufanya kazi mashule ya kiswahili yapo tusijishushe kwani rugha inayotambulika wa watanzania wote ni lugha ya kiswahili kama ilivyo kwa nchi...
  11. E

    Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

    Kuuliza mshahara kwanza unayemuuliza ana miaka mingapi apo alipo kama mfano huu Dereva ma mgodini anaanza na mshahara wa milioni moja na point bila makato je mwenye miaka kumi atakua na mshahara gani na kila mwezi na mwaka mishahara inaongezeka msidharau kazi unaweza ukawa mshahara mdogo ila...
  12. E

    Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

    Uliza uliza mambo ya sasa hayaitaji kukurupuka ni vyema uende mahara ukijua ndo umefika ila ukienda bila kulidhika utakikuta mala leo hapa mala kesho pale panga maisha ndugu fanya maamuzi sahii ukitaka maisha bora kaa sehemu moja kwa mda mrefu pato litaongezeka na utakua na maendeleo Kaza buti.
  13. E

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Pia ushauri mi sidhani kama Elimu kubwa ndio Uadirifu na Ueledi kazini au Kingereza kilichonyooka tena cha kuongea kama ndio uchapakazi na uadirifu katika kazi hivyo jaribuni kuliangalia kwa undani zaidi wanaachwa watu wenye sifa nyingi kasoro moja wanawachukua watu wenye sifa moja ya kingereza...
  14. E

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Tatizo tu ni Ruga zitumikazo nawashukuruni sana mnaotoa matangazo yenu hapa mnatusaidia sana japo kazi kupatikana ni ngumu hata kama unamasivi kibao mi naona hata kama una uwezo mpana asiyekujua hakujui kabisa. Ni kweli kwamba mashwala ya matumizi ya simu za mkononi kufungua Link au kutofungua...
  15. E

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Uko oraiti naunga mkona kwa kuwa watu twapenda kujiunga ili tujumuishane mambo ya maendeleo na maisha na si vinginevyo SONGA MBELE
  16. E

    Vincent na hukumu ya kunyongwa-ni kweli aliuwa familia yake?

    Huyo baba ni fundisho kwa watu wenye tabia za namna hiyo au zifananazo na izo jamani tuwe na utu tusike kama nyoka uyo na dawa ameipata ila haitoshi kwani kaacha maafa makubwa.
Back
Top Bottom