Kama anataka kuona chrismas na ya dunia mzima, basi aende nchi zote zile anazozifahamu zinazoishi kiislam, kama hatakuta hayo maua yamechanua mengi mengi.
Anaye mfahamu vizuri GG atupe wasifu wake nasi tupate kuyapima, sio vibaya hata kujua tabia yake kwenye maeneo aliyopita ikiwa pamoja na kwenye vyuo ambavyo amekuwa akifundisha. tabia ya mtu wakati mwingine si rahisi sana kuijua.
Hapo nilipounderline na kubold ni mahali pazuri sana pa kuandika utapeli, International company haiwezi kuwa na email ya style hyo, hyo ni mtu, kama ni Kampuni tungeona doamin ya kampuni hyo, syo hotmail, yahoo, gmail huo ni uhuni wa kutupa kabisa.
Jitenge na huo uhuni.
Hapo mzee umemaliza, kule ccm kuna msemo ccm ina wenyewe, na Chadema pia ina wenyewe, Zito kuondoa kabisa ushabiki wa kijinga, kwenye underline pale, ni kweli mkuu, tuwaulize waliopo humo wametokea wapi, na ni kwa nini, wengi walikuwepo sasa hv wako wapi, na hawa waliokuja wengi wao baada ya...
Muulize Bahati Tweve kwa uzuri kabisa kama unamfahamu, Hyo alikuwa ni manachama mzuri sana wa NCCR-MAGEUZI, kuanzia akiwa Azania/Tambaza Sekondari, sasa kilimpeleka nini ccm, kilimtoa nini ccm, fursa zilikosekana maana ndo zilizompeleka, kwa sababu alikuwa ni mwanamageuzi akaangalia ni wapi...
Wewe ulikuwa mmoja wa hawa wapinaji sio?? Mlikuwa mnapigania sasa, maana tuna maneno yasiyostahirika kwa wakati wake. Kwa mara ya kwanza pale chuo kikuu mwaka huo ktk utawala huo, vyumba viliuzwa kama jungu, habari kubwa ya uuzwaji wa vyuma haikuwa siri tena, watu waligawana vyumba wajuavyo, kwa...
Kama unakumbuka mwanzo wa lile neno kujivua gamba, basi hyu jamaa (Makongoro) aliwaambia live kabisa wale jamaa, yupo ccm lakini ni moja ya watu wachache huko, jamaa aliwaambia wewe, na yule ndo mnatuharibia chama, si muondoke, nazani ndo yeye alionyesha msimamo mkali ktk wenyeviti wa mkoa...
Umemdanganya, unao ushahidi, maana sio kusema, mie kuna mtu ninamfahamu alikuwa Barrick alikuwa analipwa si zaidi ya 2.5 take home, na kwamba wanafanya kazi wiki 6 wanapumzika wiki 3, endelea kumsaidia, hujamsaidia bado
Madam utaumia, kipi bora kuendelea kujamiana au kuacha mpaka pale utakapopata aliye sahihi, jiangalie usije ukaanguka, na si mara zote ukianguka unaweza kusimama, unaweza kuanguka na usisimame.
Ndivyo tulivyo, kama Kiaro angeagwa DSM wangapi wangeenda kumuaga? Ongea na Watanzania wote waliofika mahali pale, Leaders, Kinondoni makaburini, au chukua vichwa vyao uwachunguze, kisha uwaulize, na hapo utapata picha kamili. Kwani walio werevu wameenda wapi??, Hatunao tena Tanzania, hawayoni haya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.