Search results

  1. Sungurampole

    Serikali imesitisha michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA kwa mwaka huu

    Kila nikijaribu kutafakari kuhusu hili la waziri kufuta mashindano ya Umiseta na Umishumta mwaka huu ili pesa ikanunue madawati najikuta na maswali mengi kuliko majibu. · hebu tujiulize tatizo hili la wanafunzi kutokuwa na madawati limeletwa na nani? Mbona tunawawajibisha wasio kosa. · Kama...
  2. Sungurampole

    Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

    Hivi nani wako bodi ya TRA? Labda inaweza kutupa clue kwanini bado ipo
  3. Sungurampole

    Naomba kujuzwa, TANESCO wanatumia muda gani kukuingizia umeme ukishalipia mkoa wa Kinondoni, Dar?

    Hi ni kulingana na mkataba Wa huduma Kwa wateja ila wabachofanya no tofauti kabisa
  4. Sungurampole

    Baraza la Mawaziri lijalo

    Kwa demo aliyokwisha kuonesha Magufuli na PM nafikiri sasa sifa za mawaziri wake naziona wazi: 1. Mzalendo- kwa vile neno limekwisha kuchafuliwa sana nielezee kuwa huyu ni mtanzania yule akiona kitendo/uamuzi wake umewasaidia watanzania walio wengi moyo wake unaburudika, akiona kitendo/uamuzi...
  5. Sungurampole

    An open letter to President Magufuli

    Tokyo umesema vizuri. Kuna eneo moja sikubaliani nalo in like LA kodi Kwa biashara zinazopata FAIDA ya chini ya mil 4 Kwa mwezi. Hii in mil 48 Kwa mwaka. Hili ni pato kubwa sana kuto kutozwa kodi labda kama ulimaanisha mil 4 Kwa mwaka. Pia ubapozungumzia FAIDA Kwa biashara ndogo kuna tatizo...
  6. Sungurampole

    Kufutwa sherehe za Uhuru kumeongoza matumizi ya fedha za umma

    Hapa unachanganya masomo mkuu. Sherehe zimesimamishwa na pesa zilizokua ziliwe zimepona(full stop). Ule muda Wa sherehe utatumika kufanya usafi ili kupambana na kipindupindu hili ni Jena na halina shida. Kama kuna ufisadi ktk kufanya usafi huo in ufisadi mpya Wa halnashauri/mkoa husika siyo...
  7. Sungurampole

    Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Nano kakudanganya Home shopping center wamekunja jamvi? Wamejaa tele ile ilikuwa janja ya kukwepa kodi tu
  8. Sungurampole

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Umesema vema Le Mutuz amajiumbua huenda kweli wamehack a.c yake kwani anavyovilinganisha havifanani kabisa.
  9. Sungurampole

    Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    Wakuu nani ana like tangazo LA kufuta uchaguzi Wa Zanzibar lilokuwa gazetted atuwekee hapa?
  10. Sungurampole

    Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    There is no reasoning here it is shear madness. Commonsense is not common anymore.
  11. Sungurampole

    Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

    Hebu nikumbusheni huyu DR Tulia amefanya nini tena karibuni kustahili hii fadhila anayolipwa?
  12. Sungurampole

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Wenzetu ni wawazi she spoke her mind
  13. Sungurampole

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Naona wale majembe bado wapo -kina Cecilia, LuLucy, Suzan Lyimo
  14. Sungurampole

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Nilikua Dar, tuko bar tunaangalia tv ya kuapishwa kila mmoja amekodlea macho ila you an tell anapocomment kuwa hana raha. nimeenda uwanja wa ndege nikakutana na waliotoka Mwanza wanazungumza hali hiyohiyo- kuna ukimya usiyo kawaida unaoendana na kukata tamaa.Ndiyo unaweza ukaukataa huo ukweli...
  15. Sungurampole

    Nini hatima ya Zanzibar?

    Nafikiri matamko yanabadilika.tayari japo tamko linasema matokeo YOTE yamefutwa,tumeambiwa Yale ya urais Wa Jmt naya ubunge Wa jmt ni safi
  16. Sungurampole

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Mkuu ungejipima mwenyewe ungegundua mada hii imekuzidi kimo cha kufikiri ungesuburi nyingine uchangie
  17. Sungurampole

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Kumbe ICC ni ya nchi zisizo huru???
  18. Sungurampole

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    umesema kweli mkuu, ndiyo maana ni muhimu kwenda ICC kwani tulifikiri wanaotoa nchi kwa Lowasa au yoyote yule ni wananchi lakini tumegundua sivyo. Kuna "chombo au kundi la watu" waanaofikiri wao ndiyo wenye haki na mandate ya kutoa nchi kwa wanayempenda. chombo hiki kiko juu ya sheria zote...
  19. Sungurampole

    Movie gani ambayo ina mchango mkubwa katika maisha yako?

    Sawa mkuu jaribu ushauri wangu wanaotaka kujifunza waiangalie kwa wiki moja mfululizo wataniambia
Back
Top Bottom