Sure!! Nikiwa kwenye mizunguko nikaona kitu kizuri kinachomfaa namnunulia, sirudi baadae kumwambia "naomba unirudishie kiasi fulani cha pesa" though wapo wanaoishi hivyo. Yani he is mine and i'm his, kwakua kila mmoja anampenda na kumjali mwenzake hatuoni tabu kusaidiana majukumu yetu kila...
Chauro rafiki it takes a lot to make a home with someone, sema wengine bado wanadhani nyumba ikishawekwa furniture basi it's a home. Live your life the way you and your partner wants to, ya wanadamu waachie wenyewe maana ukisema uwasikilize unaweza ukaishia kuchanganyikiwa.
Ya kizamani au ya kishamba?
Dunia ya leo bado watu wanafikiria kukandamizana na kukomoana na wenzi wao. No wonder wengine hizo ndoa wanaziona chungu kuliko.
Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.
WORTHLESS!!!
Kutumiana aisee.
Wengi wako kutumiana zaidi, hamna kuwekana moyoni, ni mwendo wa "una nnachokitaka kwahiyo ntakuwa na wewe." Kupendana kweli kunabaki kuwa hadithi tu na sio zaidi.
Ukishakuwa na mahusiano kama hayo kuachana ni rahisi sana maana kuna siku alichofuata kwako kinaweza kisiwepo...
Ndahani
Mkiwa ni kufa na kuzikana kweli ndio inakua hivi sasa, yani hata katikati ya ugomvi mnaweza mkajikuta mnacheka, mnafurahi na kupendana. Ila mahusiano mengi hayana hiyo, kukiwa na ugomvi ndo chakula kususiana, maneno kutupiana,kitandani kukimbiana n.k
Sasa hapo sijui wanakua wametoana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.