Search results

  1. M

    I'm back!

    wakulungwa, Nimerejea rasmi kundini baada kutoweka kwa kipindi kirefu, napiga miguu yote. Lekta.
  2. M

    Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

    60% ya bidhaa za transit zinapita Tunduma-Nakonde border, anayedhani ni jambo rahis ajiulize tankers, truck ngapi zipo barabarani kuelekea Tunduma mida hii? Hiyo mizigo 90% inabebwa na trucks za Tanzania...we fucked up..Jesus!!!
  3. M

    Huyu Polisi wa zamani Marehemu Nkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

    76 mndava sana Siku yupo patrol kitaa chote wahun wanasambaa hata wik nzima hawatokei Ujambaz ukitokea akipelekwa front kesho yake utasikia majambaz 5 wameuwawa na polisi kwenye mapigano!!! Ila Tunda watu wanakunja na mzee hana la kusema...
  4. M

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Wame fight wik nzima stil wamefariki Navyojua madhara ya moto yadhoofisha mwil kidogo kodogo...organ moja baada ya nyingine Wale wote walikua wanaongea na Magu wako ICU Terrible kwa familia kushuhudia huu mtihani...
  5. M

    Huyu Polisi wa zamani Marehemu Nkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

    Duh Majambaz wote kaskazin lazima wajue location ya 76 bila hivyo mchezo unahairishwa Ana shabaha sana.......
  6. M

    Huyu Polisi wa zamani Marehemu Nkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

    Huyu mangi ni proffesional killer Ndio kazi yake..alikua kituo cha sitakshari nadhan mnajua shughul za hicho kituo Sijui kwa sasa yupo chimbo gani!! Kaskazin nadhan aliweka rekod kwa kutoa roho za wahalifu
  7. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Kumbe ana watoto!!! Waje wasome wajue ubaya wa baba yao Jamaa kafa kweli Hao wakina victorie wanashabikia kivuli tuu Huyo mjane anaonekana kama na yeye mtu wa kitengo!!
  8. M

    Kahama, Shinyanga: Lori la mafuta lateketea kwa moto na kupelekea utingo kufariki

    Baba swalehe huwa unapiga kitu cha chuga au Tarime?
  9. M

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Ester,Tilisho,Meridian Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  10. M

    Morogoro: Basi la Safari njema liliotoka Dar Usiku, lagongana na Lori, Watano Wafariki na 26 kujeruhiwa

    Tipper imetolewa kichwa imebak body Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  11. M

    Ajali Pwani Ruvu: Barabara ya Morogoro imefungwa Mlandizi, haipitiki

    Acha kabisa Wazee wa kuchomoa betri weka mbali
  12. M

    Ajali Pwani Ruvu: Barabara ya Morogoro imefungwa Mlandizi, haipitiki

    Kwa tunao tumia barabara ya Morogoro-Chalinze Dar mziki ni mnene Kuna ajali daraja la Ruvu Tanker ya mafuta imegongana na fuso..zimamoto wamewahi Wazee wa betri hawakuwepo Kuna bonge pin!!!!!! Leo moro saa 12 jioni
  13. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Masenaries wazuri kwa Afrika wanatoka Libya,Niger,Darfur na South Africa Ukitaka pindua tawala hao ndio kazi zao Ukiwa na budget nzuri wasiliana na blackwater USA ni security contractor wazuri sana wana state of art eqpts
  14. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Mke wake anaendeshwa na SU nyekundu v8 toyota landcruizer
  15. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Nikimpata wa hivyo namtega na kumla kiboga na hatalamba kitu....
  16. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Kimara baruti... upande wa 770kj
  17. M

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Diwani mringo maarufu sana kimara baruti njia ya Chuo kikuu Mtaa wote nadhan panaitwa kwa mringo Hawa ni watu 2 tofauti
Back
Top Bottom