Search results

  1. B

    State this is just a pretext - Tell us the agenda!

    Sometimes you don't need somebody to tell you everything under the carpet and here there are lots of possibilities hidden everybody can mention his/her own. Islamic states? Political reasons? or may it's because of the persons responsible for the matter have been afraid ing of who?? Or may be...
  2. B

    Magazeti ya IPP media!

    Mkuu ungetupia na mfano mmoja wa habari toka IPP media.
  3. B

    Mbunge Nasari Anajuta...

    Nawe ni GREAT THINKER? Ha ha ha haaaaaaa
  4. B

    Dr. Slaa amuige Mnyika kujibu tuhuma za Mtela Mwampamba dhidi yake

    We nawe umeamua kushiriki shindano la kujamba wakati bado uko kwenye dozi ya kuzuia kuhara... Na huyo Mtela wako mtachafuka na mharo wenu.
  5. B

    mchango wa PJ, Gerald Hando na clouds kwa ujumla kurudisha bunge kuendelea kurushwa live...

    :welcome::welcome: Paul James Sweya, kaanzia maisha mwanza hotel kama dj baadae akapata kibarua sahara media kwa dialo pale akakutana na watangazaji wazuri wakamfundisha kazi, kutokana na ujanjaujanja alionao akaweza kutangaza na akaanza kupata umaarufu kiasi flani pale mwanza na kwa...
  6. B

    MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

    Ndo kwanza watakuwa wameutangazia umma kuwa wao ndo wanahusika acha wafanye huo mpango dhaifu.
  7. B

    Zanzibar is gone

    :clap2: Let them go
  8. B

    Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

    Leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa Mambo ya ndani Lawrence Masha akihojiwa na EATV akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake ROSE GARDEN ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na...
  9. B

    Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Ni kweli wamekutana ila haikuwa kwa siri. Ilikuwa ktk msiba wa Mzee Makani ambapo Jk aliwapa CHADEMA pole kwa msiba huo na kuwapongeza kwa juhudi zao za kulikomboa taifa hili tajiri. Msako unaendelea
  10. B

    Vua Gamba, chana Gwanda vaa Uzalendo kutikisa Bunge la Bajeti 2012-13

    Wazee wa ku copy na ku paste, subirini tena kuna singo za kutosha zinakuja baada ya mkutano wa bunge.
  11. B

    CHADEMA & Kushindwa: The Future!

    Huyu jamaa simwelewi anataka kusema nin kwenye posts zake nkitaka kumjibu ntapigwa ban ngoja niwavizie magamba 2015 sio mbali.
  12. B

    Leo namsafisha Kigwangallah: Kampuni yake haikupata Stimulus Package!

    Hamis Kigwangallah mboja umeingia kwa ID ingine? Hawakuelewi unavyojitetea tunakujua sana sie.
  13. B

    CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

    Jf is fun and it has got every kind of people, this bullsh.i.t is also a great thinker ha ha haaaah Loh.
  14. B

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Kwa maelezo unaweza kumshawishi mtu mwenye akili zake kuwa nawe sio mnafiki? Inakuaje unaeleza maana ya unafiki halafu unaandika unafiki? Hapa unasafisha sahani halafu unaijambia kabla ya kupakua chakula... Loh!
  15. B

    Uvccm Arusha waanza kufukuzana

    Huu nao ni upepo tu utatulia lakin pia tuwaache wafu wawazike wafu wenzao na ya ngoswe....
  16. B

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Yaani badala ya kujisafisha ndo kajitupa kwenye mharo. Malori mawili dola 20,000 per month? Ivi amefanya hesabu ya kuzidisha kujua ni tsh ngapi?
  17. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Kwanini zenj ijitawale tanganyika hata kuitaja iwe dhambi? Kwanini Rais wa muungano akienda zenj awe chini ya rais wa SMZ?
  18. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Inawezekana kulikuwa na mambo mengine ambayo tuliochelewa kuzaliwa hatuyajui. Naomba kufahamishwa kwanin tuliungana? Kwanin Tanganyika ikafutwa?
  19. B

    Mgeni siku ya kwanza - kula na kubakisha?

    Baba mwenye mji vipi mbona huna kauli? Kula ale mgeni akila mwenyeji mwasema kafakamia.
  20. B

    Hawa polisi wapya kutoka ccp nawaomba watulie, tutaonana wabaya

    Mkuu wape kitu inauma wakiwashinda mje mjifunze mbinu huku arachuga kwa machalii.
Back
Top Bottom