Very well said ....
Na hii ni sana katika nyanja kuu 2
Katika familia i.e. Mtoto, Ndugu, Rafiki
Kutoka kwa mwanamke kwenda mwanaume coz women date up wakati men date down
Kwenye NDOA hali ni tofauti, huku ni mpaka kifo kikutenganishe so people na hasa MEN should chose wise.
Pole sana, tough situation; that force imprisonment anakufanyia na si sawa lakini penye njia pana nia
As long as humpendi, mwambie ukweli na muoneshe kuwa humpendi kwa vitendo sio ile akipika unajilamba lol
Easy way:
Ondoa ''show'' kwenye menu sio ukiguswa tu umekiwasha, ukizubaa...
You did it for your own kid and your wife, nothing else should matter
Mimi nimewahi mpeleka clinic peke yangu na nilipata support kubwa sana kwa wamama wote na wahudumu, for the first time wamama walinipisha kwenye foleni, nikawa wa kwanza na kunisaidia kufanikisha zoezi nikasepa fasta.
Mama...
Bro
You are in love, kama sio penzi jipya basi umeoa karibuni
Utafiti wako haupo based na data
In general, men are the 1 who run the world in everything isipokuwa kuzaa tu
Pole na hongera at the same time
30's ni muda sahihi sana kuanza kuwa worried na somehow nafikiri ulitakiwa kuanza kuwa worried even after 27's.
I am a men, married and I think am fine for now ... but hata kwa mimi, kupata mke haikuwa rahisi na wala haikuwa kwa nguvu zangu, was just a fate and...
NDOA ni suala la makubaliano na ''hiari'' kati ya watu wazima wawili wa jinsia tofauti.
Hakuna haja ya kukushawishi ama kukukataza, kuoa ni hiyari yako.
NDOA ni zawadi kutoka kwa Mungu, kutaka kuoa sio kuoa ... unaweza kutaka na usioe.
Be you and enjoy your life
Mchango wangu ni kama ufuatavyo ...
Yote uliyoongea ni sawa kwa kiasi kikubwa lakini sio kigeni, ukiangalia kusudio hasa la ndoa ni kutimiza mapenzi ya Mungu na si kupata raha, kwa wakristo - biblia ipo wazi kabisa kwamba:
(1) Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na...
Hello
Kwanza nikutie moyo kwa yote unayopitia na nikukumbushe tu
1. Kufanikiwa ama kufeli ni neno mtambuka kati ya mtu na mtu (kufeli kwako kwa mwingine ndio mafanikio and vice verse is true) na kwa kuanzia kabisa, kabla hujaangalia magumu unayopitia, hebu jaribu kuangalia yale mazuri na...
I meant .....
Tatizo la kuogopa kifo limeletwa na binadamu kwa kukitumia kama fimbo kuadhibu wengine otherwise kifo ni kitu cha kawaida na very natural, kwa sisi wote kuwahi ama kuchelewa kitakuja.
Unaulizwa ukiwa wapi kwa mfano?
Nadharia ya kuzaliwa na kifo ni ile ile, kama ambavyo hukujua ulivyo zaliwa hivyo hivyo hutajua ukifa.
Tatizo la kukifanya kifo kama jitu kubwa na la kuogofya limeletwa na binadamu wenyewe kwa kukitumia kutisha, kwamba kinauma na kunyamazisha - kifo hakiumi na...
Mkuu
Umeanza ku panic wakati sahihi kabisa so kazi ya kupungua itakuwa rahisi zaidi
Kupungua start from the will as sio kitu kirahisi but kanuni kuu ni 2 tu
1. Punguza sana kula, kunywa maji sana, matunda na mboga mboga acha kabisa sukari na wanga
2. Mazoezi ni lazima kwenye kupungua vizuri...
Ajali hazina kinga katika mazingira yote
Nikuongezee:
3. Usisahau, lipo pia kundi kubwa sana la ajali linalosababishwa na ubovu na kuwa chini ya kiwango wa miundombinu yetu i.e. Ubora, Kukosekana kwa alama.
4. Mwisho, ubora wa magari yenyewe pamoja na vifaa kama matairi, oil na zaidi ''wear...
Umeanza vizuri sana ila kuna sehemu hazikuwa za lazima
1. Wahitimu wa chuo kikuu still ni binadamu, ajali nyingi zinasababishwa na uzembe wa kibinadamu ambao over the period of time, wote tunao.
2. Kuna maeneo mengi sana hapa nchini penye ruhusa ya kuendesha gari zaidi ya speed 80 kmh, zipo...
Sasa si ndio wife anachotaka kufanya aiseeeeeee ..... Wife anataka kusepa now
Amwache aende basi mbona kaja tena hapa kulia kulia Lol
Ushauri wangu:
- Mke anapigwa kwa upande wa kanga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.