Search results

  1. yaramazlik

    Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Mimi nashauri TANESCO ikate umeme muda mwingi ili watu wasitumie muda wa uzalishaji mali katika kuangalia hizi tamthilia za kituruki, etc
  2. yaramazlik

    Ili uweze kupanda Mlima Kilimanjaro andaa Bajeti ya Shilingi 1,700,000

    Ukitaka kujua ni expensive, assume mnaenda kundi la 5 people, total cost inakuwa 8.5 million kwa ajili ya kupanda mlima, sijawahi kupanda ila logic tells me hakuna hotel ya kifahari wala chochote extraordinary katika service mtakazopewa. Unless mtaalamu aje kutupa breakdown ya 8.5m kama cost ya...
  3. yaramazlik

    Subaru vs Vanguard

    mkuu siku hizi umekua team mjapan? wajerumani wamekufanya nn tena au mataa ya xmas yalizidi katika dashboard [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. yaramazlik

    Wanachokifanya TRA kwenye biashara ya mafuta ni kufilisi watu kwa makusudi

    USHAURI WA BURE: Serikali haifanyi kazi kwa mdomo inafanya kazi kwa maandishi. Jitahidi ata tatizo dogo andika barua, maana unaweza ongea na afisa huyu, kesho asiwepo akaja mwingine, kukiwa na maandishi its easier kutrace. Happy New Year.
  5. yaramazlik

    Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    kuna Nissan Patrol Y61, 2002, Black, Good Condition. Offer zenu zikoje? (Terms- Dereva lazima awe wangu))
  6. yaramazlik

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Acha uoga wewe upo fresh. Hivi unajua kwamba simba pamoja na nguvu zote zile anapiga sekunde 5 amemaliza
  7. yaramazlik

    Hivi Moto ya Jeshi letu la Polisi ni nini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kauli ya kanali mstaafu siezi isahau. Tokea siku hio nilijifunza kuheshimu mamlaka.
  8. yaramazlik

    Kwa wanaume: Unatumia Tsh ngapi kwa mwezi kumtunza mpenzi/mchumba wako?

    kumgegeda lazima wewe ulipe kodi hlfu usile. yani naenda kama kwangu tuuh ata nikimkuta mama mkwe hamna shida kabisa.
  9. yaramazlik

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    hii idea mzuri sana ila inabidi hamasa ili watu wajiunge maana mtu unasafiri mwenyewe siti 4 ziko wazi its not economical kabisa.
  10. yaramazlik

    Kwa wanaume: Unatumia Tsh ngapi kwa mwezi kumtunza mpenzi/mchumba wako?

    Sijaoa ila nina 2 baby mamas Wakwanza alishamove on na mtu mwingine so simhudumii and mtoto yupo kwa Bibi yake. Wapili ndo ninaemhudumia ni associate kwene law firm 1 town, nilikataa kumuoa akataka kunicut off na mtoto wangu kabisa, so kupooza mambo ndo imebidi nijiingize kwene hizo gharama.
  11. yaramazlik

    Kwa wanaume: Unatumia Tsh ngapi kwa mwezi kumtunza mpenzi/mchumba wako?

    baby mama expenses fuel - 200k Appartment - 450k luku - 65k dstv - 49k dawasco - 25k vitu vya kupika(kuku, fish, c-oil,etc) - 250k gesi - 48k maid - 70k Contengecy (saloon, etc) - 200k ila hii sio kila mwezi n iko flexible Piga mwenyewe hesabu apo bado matumizi ya mtoto kama S26 kopo (10)...
  12. yaramazlik

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    ehh vpi tena ndo taliban effect au?
  13. yaramazlik

    Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa kumbaka binti wa miaka 15

    kwani tuko Afghanistan apa tunatawaliwa na Taliban au? kama unapenda Sharia dandia C17 apo Uganda ikakushushe Kabul
  14. yaramazlik

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota? Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc
  15. yaramazlik

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Habari za kazi wakuu. Kuna mtu humu ndani ana real experience ya VW tiguan. Nataka nijue mtazamo wake interms of reliability (frequency ya kuharibika), comfortability, fuel consumption, road stability yake kwene long trips and maintenance costs. Nataka nichukue VW Tiguan LEISTUNG ya 2011...
  16. yaramazlik

    Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

    Habari za kazi wakuu. Kuna mtu humu ndani ana real experience ya VW tiguan. Nataka nijue mtazamo wake interms of reliability (frequency ya kuharibika), comfortability, fuel consumption, road stability yake kwene long trips and maintenance costs. Nataka nichukue VW Tiguan LEISTUNG ya 2011...
  17. yaramazlik

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    yani apa wana JF tunapishana sana sema hatujuani tuuh
Back
Top Bottom