Search results

  1. O

    Kashfa kubwa kwa mh. Mkono na CCM ujenzi wa chuo kikuu cha mwl Nyerere- Butiama

    Ujenzi wa chuo kikuu cha Mwl. Nyerere ambacho kingejengwa Butiama, sio ajenda mpya. Suala la ujenzi wa chuo hiki awali ilikuwa ajenda kuu ya Mh. Nimrodi Mkono(MB), mwanasheria na mmoja kati ya wanasiasa wanao heshimika mkoa wa Mara.Ajenda hii ameitumia zaidi ya miaka 10 kwamba yeye (Nimrodi...
  2. O

    Makumbusho ya mwl. Nyerere yaadhimisha international museum day

    Jana tarehe 18.05.2013 ilikuwa siku ya Makumbusho Duniani. Siku hii huadhimishwa kwa kufanya shughuli mbalimbali na mijadala kuhusu masuala mbalimbali na changamoto zinazo kabili sekta hii ya Uhifadhi. Hapa kwetu Tanzania, maadhimisho haya hufanywa na kuratibiwa na Makumbusho ya Taifa yani...
  3. O

    CHADEMA kuzindua kampeni Manchira-Serengeti, Jumapili 19/05/2013

    Hii ni kuwataarifu kuwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za kugombea nafasi ya udiwani Kata ya Manchira. Uchaguzi huu unafuatia nafasi iliyokuwa wazi ambapo mgombea wa CCM Ndg. Mechama alifariki mwaka jana. Uzinduzi wa Kampeni hizi, utaanza kwa...
  4. O

    "Nyerere na mama yake, Livingstone Lusinde na CCM yake"

    Umewahi kusikia nukuu hii ya Mbunge wa Jimbo la Mtera-Dodoma, Muheshimiwa Livingstone Lusinde? Alisema hivi..... "CCM ni Mama yangu, CCM ni zaidi ya Familia yangu au hata mke wangu. Mimi sio Mwl. Nyerere alowahi kusema CCM si mama yake! Naipenda CCM kwa sababu imeniinua na kuniweka hapa...
  5. O

    Umewahi kusikia kisa hiki cha mwl. Nyerere na mbuzi?

    "When I was about ten, my father sent me one day to accompany his first wife-one of my step mothers-to another village, eight or ten miles away, where one of the her relatives had died. As we were about to leave this village, to return home, she was given a goat by her relatives. Well, since I...
  6. O

    CCM waitafuna wilaya ya Serengeti

    Ndg wana JF, mimi ni mkaazi wa wilaya ya Serengeti. Katika utafiti wangu jinsi Wilaya hii inavyoliwa na wajanja wa Serikali na CCM nimebaini machache yafuatayo: Ubovu wa miundo mbinu km Barabara na maji. Pamoja na ujenzi wa bwawa la Manchira, ambalo kwa sasa linahudumia sehemu za Mugumu na...
  7. O

    Mafunzo ya JKT ni ulimbukeni au ufisadi mwingine- tafadhali soma hii

    Mwalimu Nyerere wakati anahutubia wanajeshi wapya wa Jamuhuri ya Tanzania, tarehe 1/9/1964 alisema...."TUNATAKA MAMBO MAKUBWA MATATU KTK JESHI LETU...(1) UAMINIFU (2)UTII (3)UHODARI. Hayo mambo matatu ndio lengo kuu la kuanzishwa kwa JWTZ. Baadaye ilianzishwa JKT lengo likiwa ni kuwafundisha...
  8. O

    Nitagombea ubunge jimbo la Serengeti 2015

    Ndg Wanajamii-Forum, Mimi ni mdau wa masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kwa sasa naishi Serengeti. Kwa miaka 6 sasa nimekuwa nafanya utafiti kubaini fursa anuai ambazo zinapatikana ktk jimbo letu la Serengeti lakini ambazo CCM na serikali yake wameshindwa kuzitumia kwa makusudi. Hali hii...
  9. O

    Vijana amkeni, nchi imo mikononi mwenu mkipenda!!

    Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu huku nikitathimini mwenendo wa siasa na uchumi wetu wa Tanzania. Tafakari yangu imenizamisha na kunirejesha katika historia mana bila kufahamu historia hatuwezi kujua tuendapo. Mustakabali wa nchi yetu nimebaini unategemea vijana. Nimejaribu kupima uwezo wa...
  10. O

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Hivi karibuni nilitembelea Butiama kuzuru makazi, kaburi na Makumbusho ya Mwl. Nyerere. Kitu kilichonisikitisha na kunishangaza ni kwamba mtu haruhusiwi kuona kaburi la Baba wa Taifa hadi alipie huduma hiyo! Nilipouliza utaratibu huu upo tangu zamani, muhudumu wa pale getini alinijibu kwamba...
Back
Top Bottom